frenderPH
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 619
- 805
Wadau wa JF habarini za siku natumaini mko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko
Wadau kama mnavyojua katika stage ya binadam kukua tunakutana na mambo mengi katika relationships, sex stuffs na some stuff like that ( cheating + uasherati) ambayo mengine ni mabaya na mengine ni mazuri na pia mengine ni mabaya lakin kwa upande wa family Rituals inakua ni mazuri, okay let me go straight
Few days past kama kijana nilikutana na pisi kali inshort mtoto ni mzuri amebarikiwa kila kona ya mwili wake ambapo hakuna mwanaume ambaye atamtia machoni akaacha kushangaa maajabu coz her body is too romantic Sensitive sijawah ona.
Sasa me kama mwanaume niliuelewa mchezo sikuhofia kuucheza basi nikamchombeza mtoto akakubari. Siku ya mgegedo dem akaniletea Tunda kiRoho safi but hapo sikua najua kitu km yuko fresh. Sasa katika kuendelea kula tunda kama kawaida yetu wanaume tunaonesha ufundi kwenye mwili wa mrembo ili umfurahshe ardhike mwishon nakuja shtuka naona damu zinatoka kwenye tunda
Heee!!! Nikastuka dem akajielezea kwamba alikua period lakini ndo ilikua siku ya mwisho kumalizia period na vitu kama hvo ambavyo wanaume wengi hatuelewi, basi mimi nikakubal nikaacha kumega mchezo nikaosha lungu langu nikatulia
MATATIZO SASA YA KAANZA
Wadau wangu wa JF baada ya tukio hilo niliona nikae bila kusex kwa wik kadhaa ili nione kama nitakua sawa sexually imean lkn baada ya hizi wiki mbili nahisi mambo ambayo siyaelewi kabisa inshort nahis Lungu linawasha sio kawaida afu kama nikitaka kukojoa kunakua na vimaumicu kwa mbali daah hii hali inanitisha nahisi kama nimeukwaa
Naomba kujua kama kuna mtu ameshapitia hali kama hii ya Lungu kuwasha namna hii au hizi ni dalili za ugonjwa gani? Au ni hali ya kawaida?? Naombeni msaada wadau nasoma comment kwa moyo mkunjufu kabisa
Na kama unajua Dawa naomba unisaidie nisije nikabaki bila
PLEASE HELP ME GUYS