Urembo v Uzuri! Sielewi kabisa yaani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urembo v Uzuri! Sielewi kabisa yaani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 24, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Mrembo , Mlimbwende, Mzuri! Ndo kabisaaaaa!

  Anaejua tofauti ya maneno hayo ndugu wana jf!!
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mrembo ni yule anayejiremba kwa sana hata kama si mzuri kwa sura
  Mlimbwende avaaye vizuri sana kwa kujiremba hata km si mzuri wa sura
  MZURI ni yule hata km hajirembi na si mlimbwende lkn sura yake inavutia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jul 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli flani wa ndani!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikitafutie link...kuna mtu aliwahi kuleta hii mada MMU!
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
Loading...