Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

Mimi ni mtaalamu
Mimi ni mtaalamu wa kusikia mtu kasema nini alafu nahusianisha na mazingira hivyo niko sahihi 100% kuna wakati jamii inakuwa na watu wa uelewa wastani ili kuwaelewesha inahitaji muda
Mkuu unaharibu kwani watu walisikia na kuelewa wewe ndio unapotosha
 
Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!!

Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton kweli!!? Kiumbe pekee ambae alieleweka moja kwa moja kauli zake ni Yesu tu maana alikuwa mungu hakika hivyo alikuwa ana kuprogramu kabla hajakulisha neno,,,,Rais anaweza asieleweke kwa wote maana si Mungu!!!
Na wale wanaokula na kuvimbiwa nao wanavimbiwa kwa mishahara yao siyo...!!
 
Kwa akili zako kuna mtu wa chukua check number yako hadi utuambie ndio urefu wa kamba yako? Vp mfano wa Mh Rais kwamba waziri, katibu mkuu na naibu waziri wote wanagombea kupata vitalu huko maliasili nayo ni mishahara yao? Kama hujui kitu kaa pembeni soma hoja za watu utapata mawazo mbadala.
 
Mimi ni mtaalamu
Mimi ni mtaalamu wa kusikia mtu kasema nini alafu nahusianisha na mazingira hivyo niko sahihi 100% kuna wakati jamii inakuwa na watu wa uelewa wastani ili kuwaelewesha inahitaji muda
Umemlisha maneno Rais, hakuzungumzia mshahara kabisa
 
Back
Top Bottom