Habari,
Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao?
1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.
2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu.
3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu
4. Wapo walioshindwa kupewa mikopo yao kwa wakati kutoka taasisi as fedha fomu zimerundikana utumishi, wanasubiri mfumo.
5. Wapo walioshindwa kulipia faini za traffic.
Nauliza hivi mfumo unasumbuaje kiasi imekuwa kero. Nani anauendesha na ana elimu ya kiasi gani?
Ku-update mishahara mipya kunaweza kuathiri mifumo na ni kwa namna gani?
Mifumo ya kimtandao inakuwaje mtandao usiwepo wakati simu za kawaida zina operate?
Mifumo nahisi inaicheleweshea serikali mapato.