Urasimu mpya unaletwa kupitia kauli ya uli 'Mfumo Unasumbua'

system'taasisi moja Kama halmashauri ya wilaya X ina mfumo wa"epicor Lawson, posMapato, kodi ya Ardhi, ipsas, bank .nadhani si free ina gharama, ukigoma mmoja unaatbiri mingine yote,. mingine imejengwa na watu banafsi inatumiwa na taasisi za umma Nani anajua info zinaishia wapi! hivi Kama pale bandarini haiwezekani kuwa na mfumo mmoja unaosimamiwa na boss mmoja?. hebu rejea mfumo wa Nmb foleni ile inaathiri uzalishaji nchi nzima. kuna haja ya kujifunza hata Rwanda.
Rwanda wao wanafanyaje?
 
Nje ya mada, nilienda posta kwa ajili ya WU wakanambia system down nikaenda bank ya jirani dakika kadhaa nikamaliza huduma. Nadhani serikali ina changamoto sana kwenye utoaji wa huduma. Ingetoa zabuni kwa watu binafsi kwa huduma ambazo si lazima wao kufanya. Kama walivyofanya kulipia mishahara kupitia mabenki, kulipia ankara kupitia simu/benki n.k. Inapunguza the so called system down😂😂😂
Kwahiyo to privatize taarifa nyeti za serikali.
 
Jamaa yangu ameomba mkopo crdb kwakuwa wenyewe wamefilisika mkopo ukachukua mwezi na sasa anaenda mwezi wa pili maana halmashauri aliyopo mfumo unasumbua hivyo hawawezi ku upload makato
 
Jamaa yangu ameomba mkopo crdb kwakuwa wenyewe wamefilisika mkopo ukachukua mwezi na sasa anaenda mwezi wa pili maana halmashauri aliyopo mfumo unasumbua hivyo hawawezi ku upload makato
Nasikia ni tanzania nzima
 
Nilikwenda kwenye ofisi moja kwa hitaji muhimu sana nikaambiwa hivyohivyo, kwakuwa nilikuwa upande wa nyuma ya computer yake huyo mhudumu nikagundua waya wa network haujachomekwa vizuri zile taa ndogo mbili zilikuwa hazi blink, nikamuuliza je mtandao ukikaa vizuri nitapata huduma? Akanijibu "ndiyo maana yake" huku akiwa anakula fruit salad yake, basi nikakandamiza ule waya baada ya muda nikagundua network imerudi,nikamwambia naona mambo yamekaa sawa sasa hebu ingia kwenye mfumo wako, akaingia nikapata huduma akanitazama hakunimaliza nikawa nimeodnoka, siku nyingine nikapita hapo nikakuta wanawake wawili wamkaa wanasubiri huduma nao wanalalamika habari za mfumo unasumbua nikajua ni yaleyale ya kulegeza waya makusudi ili tu wapumzike na kufanya mambo yao binafsi kwa kisingizio cha mfumo.
Mifumo Leo imewatoa watu kazini huko TANESCO. Jampo nahis wameonewa tatizo hili ni kubwa sana.
 
Habari,

Mungu nakutumaini wewe tu. Hivi nani anasimamia mifumo ya fedha za Serikali kimtandao?

1. Wapo wanaocheleweshewa malipo wakiuliza majibu ni mtandao unasumbua au network ipo down.

2. Wapo wanao subiri check namba kwa muda mrefu.

3. Wapo wanao subiri mafao ya kustaafu

4. Wapo walioshindwa kupewa mikopo yao kwa wakati kutoka taasisi as fedha fomu zimerundikana utumishi, wanasubiri mfumo.

5. Wapo walioshindwa kulipia faini za traffic.

Nauliza hivi mfumo unasumbuaje kiasi imekuwa kero. Nani anauendesha na ana elimu ya kiasi gani?

Ku-update mishahara mipya kunaweza kuathiri mifumo na ni kwa namna gani?

Mifumo ya kimtandao inakuwaje mtandao usiwepo wakati simu za kawaida zina operate?

Mifumo nahisi inaicheleweshea serikali mapato.

E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Na raisi hata kufokea hajafokea.

Watanzania sijui tumemkosea Nini mungu
 
Back
Top Bottom