Urasimu chanzo kikubwa cha uwekezaji serikalini-china-sonagol | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urasimu chanzo kikubwa cha uwekezaji serikalini-china-sonagol

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 21, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,631
  Trophy Points: 280
  Kampuni ya sonagol kutoka china inayotarajiwa kupewa uwanja wa ndege wa dar es salaam na kampuni ya ndege ya tanzania wamelalalmika kwamba moja ya sababu zinazofanya wabia wengi wazuri kuikimbia tanzania ni urasimu uliopo...akiongea na Rasi kikwete mchina huyo ambae alikuwa kwenye shuguli zake za kawaida kabla ya kikwete kumwomba aseme matatizo yaliofanya asiweze kuwekeza ATCL alilamika wizara ya miundo mbinu imejaa urasimu na ubabaishaji mtupu...huku akiongea kwa malalamiko Bw pya alisema amekuwa akija hapa kwa ajili ya kuichukua kampuni ya ndege na uwanja wa ndege wa mw nyerere...lakaini inapofika mazungumzo kuhusu ATCL...kunatokea baadhi ya watu wanakuwa kikwazo ambapo ukiangalia hakuna mantiki kwa wanacholalamikia.....ile wizara ya miundo mbinu urasimu mtupu...infact inaitajika kurekebishwa na nanhici tatizo hili liko karibu sehemu nyingi za africa nanukuu......
  Katika dodosa yetu inasemekana mchina angekuwa amechukua kampuni ya ATCL toka mwezi jun...lakini kutokana na vikwazo mbali mbali inayosemekana ni mambo ya 10% Yamemsumbua na kuamua kuelekea zimbabwe kuwekeza...habari zaidi zinasema katibu mkuu wa miundo mbinu bw OMARY CHAMBO amekuwa kikwazo juu ya ubinafsishaji huu pasipo kuweka bayana....na ndipo mchina akaamua kuweka wazzi nini kinachoendelea...tunahisi hiii nchi itachukua miaka 100 kumaliza rushwa na mambo ya 10%..kila atakaekamata huko juu anataka per hata pasipo kuangalia manufaa ya nchi...haya Raisi Tunatumaini ujumbe umeupata na hii ni kawizara tu zipo nyingi hata kazi za kawaida mahospitalini watu wanakufa kwa kutotoa 3000/=
  MUNGU TUSAIDIE
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Rekebisha heading.....isomeke hivi..."Urasimu kikwazo kikubwa cha uwekezaji serikalini-china-sonagol"
   
 3. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Jakaya alisema anawajua na aliwapa muda wajirekebishe lakini mpaka sasa bado wanaendelea ; huyo muwekezaji amempa live tuone basi kama atachukua hatua!! Pengine anangoja ushahidi toka mahakamani!
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu narudia tena badilisha heading
   
Loading...