Uranium: The bond between Tanzania & USA

Mbona uzi karibu zote zinazohusu tz na uranium ni za zamani sana? Kulikoni zimefufuliwa leo!
Mfukuaji ana lake jambo, tuvute subira, manake kila nikigonga nakutana na uzi mpya. Ukisoma vizuri utagundua kuna mambo meengi hayapo sawa katika suala la uranium. Labda mfukuzi ana jipya na yawezekana kuna jambo zuuuuri lipo njiani, hili sio jipu ni tambazi!
 
Mbona uzi karibu zote zinazohusu tz na uranium ni za zamani sana? Kulikoni zimefufuliwa leo!
Na hivi ndo wanataka. Tukalie siasa za CCM vs CHADEMA wafanye yao. Mkakati wao tushaujua. Magufuli aanze na waliogombea naye Urais kwa kufuatilia nyendo zao kwani kuna kijana mwingine kishaanza mbio za 2020 mapema
 
Nimekusoma, yaani tubishane kwenye MCC huku wenyewe wanafanya yao!
 
Na hivi ndo wanataka. Tukalie siasa za CCM vs CHADEMA wafanye yao. Mkakati wao tushaujua. Magufuli aanze na waliogombea naye Urais kwa kufuatilia nyendo zao kwani kuna kijana mwingine kishaanza mbio za 2020 mapema
Watanzania tujihadhari, vijana wengine wameshanunuliwa na Marekani.
Kumbuka Kijana mmoja aliyegombea urais alishasema ati Marekani inataka awe rais wa nchi hii.
Na juzi kaleta wabunge wa Marekani, lakini JPM kawatolea nje.
Hao vijana watakuwa wameshaingizwa kwenye "system" ya wakubwa, na kwa matakwa yao.
 
Kuna jingine zaidi: JPM alizingua kuonana na envoy ya wamarekani, wachache wanaojua hili --- Akaonana na wachina kabla ya wamarekani.

Je, mchina atamsaidia JPM?
 
Kwa mbaaaali sasa naanza kuvuta kumbukumbu nini kinachoendelea!
 
Kuna jingine zaidi: JPM alizingua kuonana na envoy ya wamarekani, wachache wanaojua hili --- Akaonana na wachina kabla ya wamarekani.

Je, mchina atamsaidia JPM?
Wachina wanahitaji nini? Na je wako connected na huyu was uRais was 2020?
 
Mkuu,

Magufuli alikutana na Wachina na Wakorea mapema nadhani itakuwa ni Novemba 30, 2015 na hapo wamarekani tayari walishataka kuonana naye akazingua.

Unadhani picha hii ya Balozi wa Uchina inawafurahisha?

jp3.jpg

Siku Balozi wa China alipokutana na JPM.

Sasa, JPM afanye kuwafuatilia Nyalandu na Makamba atabaini kuwa mchezo unaochezwa si wa kitoto tena
 
Kwa itikadi za hawa mabwana wenyewe walitaka balozi wa USA aonane na Magufuli kabla ya balozi mwingine. Yote ilikuwa ni kuonyesha kwamba wenyewe ni wakubwa duniani. Sasa kwa hili haliwezi kuwafurahisha, wanataka balozi wa USA awe na heshma kuliko balozi mwingine. Ngoja tuone.
 
Mkuu,

Magufuli alikutana na Wachina na Wakorea mapema nadhani itakuwa ni Novemba 30, 2015 na hapo wamarekani tayari walishataka kuonana naye akazingua.

Unadhani picha hii ya Balozi wa Uchina inawafurahisha?

jp3.jpg

Siku Balozi wa China alipokutana na JPM.

Sasa, JPM afanye kuwafuatilia Nyalandu na Makamba atabaini kuwa mchezo unaochezwa si wa kitoto tena
Kosa kalifanya kumuweka Maropes kwenye serikali yake japo kacheza kama Pele kumpa Wizara isiyompa publicity nje na ndani ya nchi.

Lakini inabidi achukue maamuzi magumu kwa michezo ya kuhujumu nchi.
Sasa Nyalandu alileta wana congress ili iweje? Athibitishe kuwa ndio waliomtuma agombee u Rais? Maana sitaki kuamini kuwa haogopi kufanya ujinga enzi hii ya JPM.
 
Back
Top Bottom