Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 213
DK SHEIN kamzidi Seif kwa 1% tu na kuukwaa urais znz je mwaonaje waungwana vigezo vinakidhi au?
DK SHEIN kamzidi Seif kwa 1% tu na kuukwaa urais znz je mwaonaje waungwana vigezo vinakidhi au?
mimi najiuliza iweje atangazwe mshindi wakati kuna majimbo uchaguzi umeahirishwa, je ikitokea hayo majimbo yakabadirisha mwelekeo wa matokeo je itakuwaje?, kwa nini wamewanyima haki ya kikatiba wananchi hawa ya kumchagua raisi wamtakaye?. napendekeza Shein awekewe kipingamizi mahakamani asiapishwe mpaka kura katika majimbo hayo zipigwe. hima hima wanaharakati.