Elections 2010 Urais zanzibar

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
789
213
DK SHEIN kamzidi Seif kwa 1% tu na kuukwaa urais znz je mwaonaje waungwana vigezo vinakidhi au?
 
Naona ni sahihi kwa mujibu wa katiba ya znz vinginevyo kule visiwani, upinzani ni wa karibu sana
miaka yote ni hivyo na itakuwa hivyo kwani upemba na uunguja unawapa taabu kule. Wananchi wa kule
hawadanganyiki wala kupoteza asili yao. Big up ccm znz mungu awabariki.
 
mimi najiuliza iweje atangazwe mshindi wakati kuna majimbo uchaguzi umeahirishwa, je ikitokea hayo majimbo yakabadirisha mwelekeo wa matokeo je itakuwaje?, kwa nini wamewanyima haki ya kikatiba wananchi hawa ya kumchagua raisi wamtakaye?. napendekeza Shein awekewe kipingamizi mahakamani asiapishwe mpaka kura katika majimbo hayo zipigwe. hima hima wanaharakati.
 
Ninavyoelewa mimi ni kwamba hayo majimbo unayozungumzia wamepiga kura za Rais,, tatizo ilikua ni katika kura za madiwani na wabunge ndio karatasi zimepungua
 
Back
Top Bottom