Urais wa Zitto 2015 ni kwa tiketi ya CHADEMA - Habib Mchange

Kuna watu huwa wanataka umaarufu usio na tija we katiba yenyewe hairuhusu sasa why disturb us na utakaji wa uraisi wakati bado miaka mitatu mbele?
Hivi huwa mnasoma shule gani nyie mbona hata ambao hatujasoma sana twawazidi kasomeni katiba na pia nahakika hatakuwa raisi huyo Zitto

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

katiba inaandikwa upya mkuu,ulikua huna taarifa nini?
 
Kweli mna kazi. Kumjadili zitto sasa ni sawa na kwenda dukani kununua nguo za mtoto wa kiume wakati mama bado ni mjamzito. Bila kujua atazaa wa kike au wa kiume!
 
napenda nikushauri mchange ww bado ni kijana mdogo sana tafuta mbinu za kujijenga ndani ya chama kwa mambo ya msingi itakusaidia sana kwa hii makala ulioandika inaonyesha wazi unapinga upambanaji wa john heche kwenye m4c na hii ni kwa sababu aukuwa mwenyekiti wa bavicha taifa kwa hyo uko na chuki binafsi ambazo aziwezi kukujenga kwenye ulingo wa siasa, usitumiwe jipange ww kama wewe ujijenge heshima kubwa kwenye taifa na sehemu husika unayotoka,
 
Kuna haja kujadili mantiki ya mada yenyewe, ZITTO anafaa au hafai kuwa Rais? mbona tunazunguka sana? kama anafaaa suala la katiba ni issue nyingine, tumkubali kwanza kijana ZITTO hayo mengine yatafuata. Suala la katiba liko chini ya uwezo wetu, ni kiasi tu cha kutoa maoni kwenye tume ya katiba mpya na umri utapunguzwa tu. Hii ni dunia ya vijana bwana. Nasisitiza, tuongelee uwezo wa ZITTO na siyo umri. Binfsi naona ZITTO ndiye anafaa kupeperusha bendera ya CDM 2015

inafaa katiba ijayo umri wa kugombea urais uanze miaka 35 na umri wa mwisho kugombea uwe miaka 60.
Hatutaki vibabu viingie kwenye kinyang'anyiro,wabaki kuwa washauri tu.
 
Katika watu ambao sipendi kuwa jadili ni huyu mchange mwanzo nilidhani ni mtu mwenye akili na busara kumbe sivyo! Yan ana dhani siasa ni matusi!

Hata zitto mwenyewe sidhani kama ana muelewa kabisa mtu mwenye lugha kama zile, huyu kijana ana hitaji kuhurumiwa
 
napenda nikushauri mchange ww bado ni kijana mdogo sana tafuta mbinu za kujijenga ndani ya chama kwa mambo ya msingi itakusaidia sana kwa hii makala ulioandika inaonyesha wazi unapinga upambanaji wa john heche kwenye m4c na hii ni kwa sababu aukuwa mwenyekiti wa bavicha taifa kwa hyo uko na chuki binafsi ambazo aziwezi kukujenga kwenye ulingo wa siasa, usitumiwe jipange ww kama wewe ujijenge heshima kubwa kwenye taifa na sehemu husika unayotoka,

Kama siasa za kushindwa na Heche ndiyo kukimbilia Facebook na kutukana viongozi matusi basi tuna kazi kubwa.
 
We subiri utaona vilaza wasio na hoja wataanza kufanya personal attack kwa mtoa maoni badala ya kuangalia uzito/ wepesi wa hoja zake.
Binafsi nakubaliana na maoni aloyatoa Mchange.

na hilo ndio litakalotokea.
Subiri uone.
 
Huyu mchange kila siku kazi yake kumtukana slaa kimafumbo kule facebook, kisa alimkamata na rushwa uongozi wa bavicha
 
huyu anaandika matusi saaana hata facebook na kila mahali anatukana saana katibu mkuu na kila kiongozi sasa chadema anayoizungumzia ni ipi
 
Huyu mchange kila siku kazi yake kumtukana slaa kimafumbo kule facebook, kisa alimkamata na rushwa uongozi wa bavicha

Eti mtu wa aina hii bila Aibu anajiita mwanachama.Atuambia kwa nini anawaporomoshea matusi Mbowe,Dr Slaa na John Heche?
 
Kama siasa za kushindwa na Heche ndiyo kukimbilia Facebook na kutukana viongozi matusi basi tuna kazi kubwa.

wanamuonaje heche kafit vyema nafasi yake eeh au bado wanamtimanyongo badala wangemuunga awapeleke hata vijijini wapajue wao wako fb wanatukana heche wenje,slaa,lema ,kila siku
 
huyu anaandika matusi saaana hata facebook na kila mahali anatukana saana katibu mkuu na kila kiongozi sasa chadema anayoizungumzia ni ipi

Wakishaandika hayo matusi ya nguoni wanaalikana ili kuwavua nguo viongozi wa CDM bila hata heshima ya kibinadamu.Kati ya watu wanaoitwa kushiriki hayo matusi ni mtu anayejiita Said Kulwa na Juliana Shonza.Hawa watu hawana kabisa utu.
 
Zitto celibate man tumweke ikulu ikulu sio ya wahuni, bado anahitaji kwenda club bado anatafuta mchumba. Afanye kwanza hayo na aacha undumila kuwili he will be considered not now!
By ze wei Lile hammer na Vogue kayatoa wapi vile?

Mkuu vp BABU kapata Mchumba au Bado ana VIMADA wale wale?
 
wanamuonaje heche kafit vyema nafasi yake eeh au bado wanamtimanyongo badala wangemuunga awapeleke hata vijijini wapajue wao wako fb wanatukana heche wenje,slaa,lema ,kila siku

Waangalie mapokezi aliyopata Heche jana Sumbawanga.Haijapata kutokea.Leo wanajidanganya kuwatukana kwenye Facebook ili viongozi wakose heshima mbele ya jamii.Ni aibu kumtukana Mkiti na Katibu mkuu wako huku unajiita mwanachama wa hicho chama.
 
Eti mtu wa aina hii bila Aibu anajiita mwanachama.Atuambia kwa nini anawaporomoshea matusi Mbowe,Dr Slaa na John Heche?

yeye na mwezake nyakanguru ndio vibaraka wakubwa baada ya kushndwa kupenya bavichaamekuwa watu wa majungu
 
Mkuu hao ndo wale wanaoamini CDM ni MBOWE na SLAA.
ukiona mtu anaenda nje ya utratibu huyo ni tatizo wakuu, ushindi wa wabunge ni uelewa wa watu tu wa leo wala siyo juhudi za Zito. plse jaribu kufatilia ni vp Zito alifika chadema then judge. ZITTO NI MWANA CCM TWAJUA
 
Mchange,

Usituletee hasira na mapovu hapa!! Uliikosa Kibaha kwa sababu ulijihusisha na Rushwa. Kibaraka mkubwa wa mafisadi!! au ile hela uliyotumia kibaha alikupa ZZK. Kama alikupa ZZK ilitoka kwa RA!! nasi huo mtandao hautangia katika uongozi kamwe tumeteswa nao sana awamu hii. Inatosha!!!
 
Waangalie mapokezi aliyopata Heche jana Sumbawanga.Haijapata kutokea.Leo wanajidanganya kuwatukana kwenye Facebook ili viongozi wakose heshima mbele ya jamii.Ni aibu kumtukana Mkiti na Katibu mkuu wako huku unajiita mwanachama wa hicho chama.
hoja za dr kitila nazo kwenye raia mwema zimeanza kuchuja
 
Back
Top Bottom