mwaikenda
JF-Expert Member
- Mar 26, 2011
- 903
- 141
Kwa wale tuliosoma pale Mlimani Udsm mnafahamu wazi kabisa kuwa Siasa za Daruso na tabisa yake. Lakini kikubwa ni kuwa siasa za pale zina tabia kubwa moja za kutafuta umaarufu hasa wa kuorganize mgomo kwa madai yoyote yale ndiyo mtu unaonekana unaweza ila si kwa kujenga hoja pale Rev. Square.
Madhara ya Siasa za Daruso zimezaa vijana ambao leo hii wapo serikalini, Vyama vya Siasa, Bungeni na hata katika taasisi za Umma.
Mfano mdogo ni hawa vijana kama akina January Makamba eti naye anataka Urais jaman ivi kweli tujiulize Siasa kaanza lini? Afahdaki hata Jk. safari yaje kwenye Siasa ni ndefu na kapita kwenye visiki vingi laskini vijana wa siku hizi wanatoka Daruso wanataka Uraisi. Huku ni kuidharirisha Taasis ya Urais kama Siasa za Daruso. Kila mtu anataka kuwa Raisi kwa sababu tu ana uwezo wa kujenga hoja au kesha pitia siasa za Chuo kama Kisandu.
Kuna haja ya kudhibti jambo hili kwa taasisi ya Urais si nyepesi kama wengi wao wajuavyo.