Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais wa Muungano 2015 ni zamu ya Zanzibar - Maalim Seif

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Dec 17, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema si haki hata kidogo Rais wa muungano atoke upande wa bara tu kila awamu.

  Maalim Seif amesema kamwe haikubaliki kwani ni nchi mbili huru ziliungana. Ameongeza huu ni upendeleo wa waziwazi ambao katiba mpya itabidi iufanyie kazi kwa maslahi ya nchi hizi mbili.

  SOURCE: HABARI ITV
   
 2. m

  mams JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Tunarudi kulekule '84
   
 3. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Nimeamini kweli Maalim Karudi CCM. Haya ni matamshi ya chini kwa chini ya CCM Zanzibar. Tanzania hatuachagua rais kwa kuangalia anatoka wapi bali Tanzania kama nchi tunachagua mtu yeyote atakayetupeleka mbele.

  Urais si kitumbua cha kula na kuachiana. What if Zanzibar hakuna aliyequalify? yaani tumuweke mtu tu hata kama mwendawazimu?. Wanzibar waliisigina nafasi adhimu sana mwaka 2005 kwa kuacha kumuunga mkono Salim. Wao wenyewe walimuanzishia fitina kuwa ni Hizbu kwa ahadi za vyeo toka kwa wanamtandao. Sasa leo hii wapo nje ya vyeo wanamtumia Hamad Seif Sharif.

  Kwa mzanzibar kupata urais wa Tanzania ni mpaka atakapopatikana mtu kma Dr Salim na hii itawachukua miaka hamsini ijayo.
   
 4. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Amemaliza gogoro lake na Hamad Rashid?
   
 5. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,402
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  What is wrong?? Wazanzibar wajitokeze kugombea, bara wajitokeze wagombee, vyama vitachuja!! WE need the right President!! Hakuna kubebana!!
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nadhani ameandaliwa kumpigia debe Karume.
   
 7. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif akizungumza na waandishi wa habari, ametaka suala la zamu ya urais wa muungano kati ya bara na zenj iingizwe kwenye katiba mpya. Je mnaona ni sahihi kuingiza zamu kwenye utawala wa nchi?
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwani CUF ilishatoa rais bara kuwa sasa ni zamu ya CUF-Zanzibar au anaisemea CCM-Zanzibar safari hii watoe rais, confused.com.
   
 9. m

  mams JF-Expert Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nina imani huyu Maalimu Seif hataishia hapo, atataka Rais ajaye wa Muungano si atoke Zanzibar tu bali awe ni Mpemba.
   
 10. nimie

  nimie JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Anawatafutia ulaji "machizi" waukwae tu kisa zamu imefika!
   
 11. g

  goodlucksanga Senior Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aiseeee hili limuungano silivunjwe tuuu halina ulazima wowote..!
   
 12. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  maalim seif, kumbuka cheo ni dhamana na hatutachagua rais eti kwa kuangalia uzanzibar wake au utanganyika wake.tunamchagua mtu kwa vile ana sifa tunazozihitaji kwa kipindi hicho.
   
 13. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  kwa katiba iliyopo siyo haki kwa rais wa muungano atokee zanzibar kwani huyu ndo anayesimamia mambo ya muungano na yale yasiyo ya muungano kwa upande wa tanzania bara ilihali pia kuna rais wa zanzibar anayesimamia maslahi yasiyo ya muungano ya zanzibar.
  sasa sioni kwanini mzanzibar asimamie maslahi ya tanganyika ambayo siyo ya muungano.
  km katiba mpya itatambua urais wa muungano kwa zamu itabidi pia tudai iwepo serikali ya tanganyika pia.
   
 14. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  Miaka ishirini hatujakwaa rais wa muungano, sasa zamu yetu,venginevo twapandisha bendera ya ASP.
   
 15. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Natamani na Zanzibar tuwe na "zamu za kubadilishana marais". Safari ijayo atoke bara.
  Huu Muungano una mambo! Ukiutafakari sana unashikwa kizunguzungu!
   
 16. Joss

  Joss JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 729
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hiyo ndo demokrasia ya wapi?
   
 17. T

  Twasila JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,913
  Likes Received: 494
  Trophy Points: 180
  Heri kutoungana kuliko kuwa na utaratibu wa namna hii. Haya ni mawazo ya ujima. Urais unafuata uwezo. Kesho atasema tuwe na utaratibu wa kuangalia asili ya mtu eg uarabu, uasia. Kwani weusi wametawala mno.
  Huyu achinjiwe baharini asije sababisha watu kuanza kudai uraisi uwe zamu kikanda.
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  umakamu haumtoshi eeeh?
   
 19. Biera

  Biera JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duh! Maalim ameanza kumchonoa Profesa? Ina maana hataki Lipumba agombee tena na mgombea wa CUF atoke Zenji?
   
 20. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Agombee tuu tutamchuja kwenye uchaguzi mkuu au anataka wagombee wazanzibari tuu; kumbe unaweza kuwa na nafasi ya juu tu serikalini ila ukawa huna uwezo wa kufikili
   
Loading...