Humphrey Polepole: Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala wa kuongezewa miaka ya Urais kutoka 5 hadi 7

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,495
3,458
Rais Magufuli hafurahishwi na mjadala unaoendelea juu ya kuongezwa kwa kipindi cha Urais kutoka miaka 5 hadi miaka 7.



IMG_20180113_175128.jpg
 
Mtu anayepiga marufuku shughuli za kisiasa mpaka wakati wa uchaguzi ndio akatae kuongezewa muda madarakani? !!

Likely kwa kuwa verified dictators wa Africa ndio wameshafanya hayo mambo so far basi lazima tukatae mambo ambayo direct tutaambiwa tayari tunaanza kuwa madikiteta rasmi kwenye chama cheti cha mpira!!!
 
Bora alivyotolea ufafanuzi.....

Sisi wengine tunaona lini atamaliza muda wake aende, halafu miccm eti inataka kumuongezea miaka mingine 2!
Usiwaamini sana wanasiasa.. Kwa anachokifanya sasa kwa wanasiasa na watu wengine kina tafsiri ndefu... Hivi baada ya muhula huu kwisha na akashinda kisha akasema.... Nimetafakari sana...... Sikutaka kuendelea.... Lakini.....


Ziara ya Kagame nchini ni msiba na janga kwa demokrasia nchini
 
Kila jamaa wakianzisha uzushi, mnawakosoa sasa wataishi vipi ? Kikwete alisema jamaaa wana viwanda vya uongo. Jamaa mnawaumiza sana ki saikolojia Mme wabana kila kona.
 
Anazunguka kitu gani siaseme wazi kuwa hafurahishwa na mswada wa Juma Nkamia?.
 

Similar Discussions

13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom