Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,291
Fursa kuu, kiuchumi, aliyonayo, ni kuhakikisha, once and for all, jibu linapatikana kwa swali lifuatalo:Sehemu ya Tano - Fursa alizonazo Rais Samia Suluhu Hassan kujenga legacy yake.
Tanzania ni nchi inayojenga uchumi wa kujitegemea kwa misingi ya:
A. Ujamaa
B. Ubepari
C. Siyo Ujamaa wala Ubepari
D. Vyote Ujamaa na Ubepari
Vinginevyo, safari yetu itakuwa tunapiga hatua moja mbele, mbili nyuma.