Urais, ubunge mpaka udiwanh vyote ukomo iwe miaka 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais, ubunge mpaka udiwanh vyote ukomo iwe miaka 10

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjenda Chilo, Jul 18, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Wana jamvi katiba mpya ielekeze huu ukomo ili viongozi wasilewe madaraka. Viongozi wengi wanajiona wao ndio serikali wao ndio kila kitu. Baada ya hiyo hatutakuwa na watu kibao mule ndani kama bibi kiroboto, toka sijazaliwa hali leo wife na kids wapo. ngrrrrrr!
   
 2. T

  TATOO Senior Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanayafanya hayo yote wakijua watanzania ni mbumbumbu hawewzi kufanya ubishi wowote kwa njia hiyohiyo wanayoitumia kuwanyanyasa wananchi imeingia hata kwa wabunge kwa kuzuiwa kuongea au kuhoji jambo kwenye hotuba zao hasa za upinzani kwa mfano issue ya jana inazuiwa kijinga na kipuuzi sana,,kisa tu imetoka upinzani...mie nadhani wajue kwamba sasa hivi watanzania na nchi nyingi ulimwenguni tunawaunga mkono wapinzani....hakuna haja hata kuwa na miaka 10 yote hiyo ya nini sasa na wakati marekan taifa lenye nguvu duniani wanaongoza kwa kipindi cha miaka 4 tu,...
   
Loading...