Wana JF ni mara nyingi kila mmoja wetu hufurahi kuona jinsi viongozi kama Marais wakiwa wamezungukwa na walinzi, Na kupigiwa saluti. Kando ya msafara mrefu wa magari ya kifahari.
Na pengine wengi wetu tungetamani nakusema Duh Laitï ingekuwa ni mimi"
Katika kuangalia kwangu, Hakuna kazi iliyo ngumu na HAINA RAHA kama URAIS. Mtu anaingia akiwa Kijana. Anapomaliza nywele nyeupe ndo alama anayobaki nayo. Ni nini ninachotaka kukukisema?
Rais ni binadamu kama alivyo binadamu yeyote. Ana sura mbili. Moja ya PUBLIC na nyingine ya Nyuma ya PAZIA. Rais hubeba mizigi mingi sana. Wakati mwingine anapokuwa anataka kupumzika kidogo aangalie TV, Kidogo anapata HABARI MBAYA.
Anapopata hiyo INAMUUMIZA moyo. Marais HUVUNJIKA mioyo na HUVUNJWA mioyo. Hasa anapovujwa moyo na mtu aliyekuwa namwamini sana. Marais HULIA na HUKASIRIKA.
Na ndiyo maana wasaidizi wa karibu wa RAIS wanakuwaga na kazi NGUMU sana. Hasa katika kumsoma bosi wao kama LEO ameamka na FURAHA ama kuna jambo linalomsumbua. Mara nyingi akiwa na wasaidizi MAKINI wengine hutafuta namna ya KUMCHEKESHA ili KUMTOA KATIKA mawazo mazito.
Wengine hujua ni nani akiwa na rais huchegaga sana na kusahau yote huyo wakati mwingine huitwa ili wafanye chati kidogo na Rais
Wasaidizi wake mara nyingi wanatakiwa KUMTIA MOYO na kumpa HOPE na hasa kujua NINI HASA ANACHOKIPENDA.
Rais wa zamani wa Misri alisema. "Watu wanafikiri Urais ni rahisi. Mimi Nimechoka"
Pia kuna huyu rais mstaafu MOI wa Kenya, inasemekana alipokuwa madarakani.
Kuna watu wake kama WANNE hivi ambao aliwapenda sana kama rafiki zake wa karibu sana.
Inasemekana wakati akiwa katika LOW SPIRITS/ Yuko Chini Kimawazo
Yeye MWENYEWE angesema NIITIE fulani.
Na kwa kuwa aliwajua ni WATU WA JOKES/UTANI sana, japo pia walikuwa WASHAURI wake WAZURI sana. Angewauliza USHAURI wao na pamoja na hayo wangemchekesha sana.
Inasemekana huyo mzee angecheka sana mpaka MACHOZI yangemtoka.
Baada ya hayo alikuwa tayari yuko FRESH na suluhisho la kisiasa ama la tatizo fulani alikuwa amelipata.
Ni nini nataka kusema hapa?
Marais hupitia kipindi kigumu sana na kazi nzito.
Wakati mwingine KUWALAUMU bila kutoa suluhisho husononesha mioyo yao.
Hii kazi si ya kutamani.
Na walioupata urais kama rais wetu Magufuli wanahitaji KUOMBEWA na KUTIWA MOYO kila wakati.