Urais Kwa Hirizi na Pete: Kikwete Ana Mikosi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urais Kwa Hirizi na Pete: Kikwete Ana Mikosi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Feb 17, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Nyote tunajua namna JK alivyokuwa akihaha kuutafuta urais kwa kutumia watu wa majini na maruhani (mfano Shehe Yahaya). Familia yake yote na washirika wake wote walikuwa wakipambwa na ma-pete makubwa makubwa ya ajabu kwenye vidole vyao. Lengo? Kinga na Urais.

  Lakini nijuavyo mimi, mambo haya ya kuabudu sanamu siku zote huwa ni kinyume kabisa na Mungu, na kimsingi hayakubaliki. Ninaona kuna kila dalili kuwa Mungu amechukia. Mungu ameamua kuudhihirisha ukuu wake kuwa hakuna Mungu mwingine zaidi, ila Yeye:

  1. Mauwaji ya Arusha yaliyofanywa na Polisia (Soma Mwanzo 9:6)

  2. Roho ya kumdhibiti akose la kusema hata pale anapotakiwa kusema. Akisema anasema uwongo (mfano kusema haijui Dowans lakini tumetumia umeme wao)

  3. Kupiga mabomu wanafunzi wa vyuo vya Elimu ya Juu

  4. Mabomu ya Mbagaraaaaaa

  5. Mabomu ya Gongolamboto.

  6. Ajali za kutisha za magari.

  5. Ujambazi.

  6. Kusafisha mafisadi (yaani yeye mwenyewe ndo msafishaji. mwingine nasikia ameanza kuuwinda urais.). Mungu siyo chizi. Hadanganyiki

  7. kutuchagulia spika pandikizi


  haya yote hayatokei kwa bahati mbaya.

  haya yote ni hasira kwa Mungu juu ya Uawala wa huu wa pete na hirizi za majini na maruhani.
   
 2. Double X

  Double X Senior Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekutana na mama mmja hapo maeneo ya shule ya uhuru amekusanya watu kibao anawaambia dhambi alizofanya jk katika kuupata urais ikiwemo kutumia nguvu za giza (waganga,wanajimu etc) ndio zinajibu sasa kwa matukio kama ya gongo la mboto. ukweli ni kwamba jk kama ni nuksi ya kwako basi tuiite GUNDU!!
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Umeshau mkuu, mapepo hayakuanza jana, ngoja nikuongezee;
  MV Bukoba
  Air Msae
  Mafuriko Mererani
  Train Dodoma

  Need I say more?
   
Loading...