Urais CHADEMA moto 2015: Dk Slaa, Mbowe, Zitto hapatoshi

Tundu Lissi ni mchemkaji hata siwezi kumfikiria kwa position kubwa yeyote bora abaki tu kama alivyo sasa...
 
"....ILIKUPATA MGOMBEA URAIS AMBAE ELECTABILITY YALE NI KUBWA..."

Wakati mwingine ni vyema tuende kinyume chake yaani tueleze wenye electability ndogo, ili muanze kuwapima wengine wengi tu wenye uwezo. Wasiotakiwa ni:

1. Lowasa (CCM)- asafishiki tokana na tuhuma zilizopelekea kujiuzuru
2. Zitto (CHADEMA) - Haaminiki kabisa tokana na unafiki na pia udouble agency
3. Lipumba (CUF) - Asiyekubali kushindwa si mshindani aachie wengine nao wajaribu na pia hawezi kuendana na sifa za Rais anayetakiwa sasa Tanzania (Achukuaye maamuzi mazito, ni makini katika kusimamia utawala wa sheria, kupambana na mafisadi) ingawa ana maono ya kumkomboa Mtanzania).
Kumpata Rais mpole itakuwa janga la kitaifa.
 
Back
Top Bottom