Urais 2020 Hatuna Chaguo Zuri

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,936
40,518
Kwa washabiki wa mpira watakumbuka jinsi washabiki wa Manchester United walijikuta hawana jinsi isipokuwa kumshabikia adui jirani.

Hii ni kwa sababu wasingependa hasimu wao mkubwa Liverpool FC achukue ubingwa na kuwakaribia.

Hali waliyokuwa nayo washabiki wa Man United tunaenda kukutana nayo kwenye uchaguzi wa Rais 2020.

Rais aliyepo madarakani amekuwa adui kwa walio wengi, tena adui mkuu.

Upinzani mpaka sasa unajua kwa sababu ya kutokuwepo tume huru CCM lazima itashinda.

Sasa hivi ameibuka Membe, wote tunajua hana tofauti na CCM wenzake lakini kwa jinsi ambavyo nchi inaenda mahali kusiko julikana, ni bora tumpe Membe hata kama tunajua hana tofauti na CCM wengine.

Kama kuna kada haijaathiriwa na sera potofu za Magu, hiyo itakuwa ni kada ya kimalaika.

Natamani Magu aendelee kuwanyoosha CCM ili akili iwakae sasa kwa kipindi hiki kidogo kilichobaki, wafanye maamuzi ya liwalo na liwe.
 
Haya mawazo ndiyo mwana JF mmoja ameanzisha thread na kuyaita ''political masterbation''. You and all the people who have this thinking in their mind are just engaging in political masterbation. Endelea kujiliwaza huku mkijifanya hamjui hali halisi. Hata huyo Membe wenu yupo kwenye hilo hilo kundi.
 
Sijaelewa maana ya hilo neno, lakini kiukweli si sisi tu, naamini hata wenye chama chao hawako salama, hawajielewi.
 
Ccm kuna mpasuko ndani yake na sehem kubwa hawapendezwi na jiwe ila wapo wanaomuelewa jiwe pia
Jiwe anaona hali ilivyo sahiv na lazima kuna mahesabu anafanya au ameshafanya au atafanya ilimradi imtoke "aibu" ya kuongoza nchi kwa miaka 5 tu. Hivyo atafanya awezalo ashinde tena na atajihakikishia mapema tu hata kama kuna uozo kauleta nchi hii
 
Hahaha, atakuwa yuko kwenye mipango mikali sana.

Sijui ndani kulivyo, lakini kwa jicho LA kawaida unaona kabisa wafia chama hawako vizuri.

Imagine hustle za watu kama Nape, Mwigulu, Makamba nk wanaburuzwa na wakuja kina Kabudi, Makonda, Polepole, Mwikwabe etc
 
Membe may sound as a saviour to some, and may even be known to speak in parables like Jesus Christ, however he wouldn't pose any serious threat to JPM at any level in the next elections. Its clear to every single individual who's the alpha male between the two.
 
Magufuli ataokolewa tu na ile mbeleko ya tume. Period. Tofauti na hapo hata apewe Rungwe au Davutwa anamtoa "Knockout".
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Magufuli amefanya kile ambacho waliompigia kura walikitegemea toka kwake na kuzidi.

Hivyo waliomchagua watamchagua Tena akamalizie kufanya walichomtuma.
 
Magufuli amefanya kile ambacho waliompigia kura walikitegemea toka kwake na kuzidi. Hivyo waliomchagua watamchagua Tena akamalizie kufanya walichomtuma.
Alipigiwa kura na akina nani? Yaaani hawa Watanzania ninaowajua fika wamchague jiwe! Acha utani kijana. Uzuri ni kwamba wanaodaiwa kumchagua ndio hao hao wanalalamika hovyo wakisahau ukichagua hovyo, usilalamike hovyo ukitendewa hovyo!Ukidhani natania waulize waliokuwa viongozi wakuu wa CCM wakati wa uchaguzi, je kwa sasa wako wapi? Mshamba unaweza kumtoa kijijini ukamleta mjini lakini ukae ukijua hadithi ya ngamia, Mwarabu, na hema. Tatizo ngamia baada ya kumpiga teke na kumtoa nje Mwarabu, hakuwa na akili ya kuitunza hema...hema ikasambaratika na wote wakakosa makazi.

CCM wakiamua kumuweka JPM pembeni wanamuweka vizuri tu, nayeye analijua hilo ndio maana ameamua kuanzisha kambi yake ili ajiweke imara zaidi, natumaini hiyo kambi yake wanaziweza figisufigisu
 
Back
Top Bottom