kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,481
urudishe tena kwahao waswahili tena kazi itafanyika kweli hata ndege itauzwa kama chuma chakavu na reli ndio haitafanyakazi
Unataka tra wamtembelee kuanzia leo!?? Au kama ana mjengo mitaa ya barabarani basi watakuja tanroads kupanua barabara kuweka njia nane!Habari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
Atashinda kwa kishindoChama cha Kingwendu United for Democratic Change...Teh
Kama mlikua hamjui, magufuli ameishabadili Katiba ya ccm mwaka jana agombee yeye tu kutoka chama hicho uchaguzi ujao hivyo ata msiwategemee wengine kuchukua fomu ndani ya ccm.Mkuu vitu vingine unapaswa utafakari sana. Hivi unadhani kwamba Raisi Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM atajiweka kwenye mazingira ya CCM kuteua mgombea wa CCM mbadala wake? HUyu Magufuli ninayemfahamu au mwingine? Au hujaona tayari ameshajiwekea mazingira kwamba hilo lisiwezekane hata kidogo?
Wapiga dili lazima mjute alafu we jamaa sio mara ya kwanza kumpigia Membe jaramba au ndio Membe mwewe?sasa hivi hata sisi wana ccm tunajuta sema ni kimyakimya hakuna anayesema kiukweli mwenyekiti ana kasoro nyingi .tunaongozwa kwa "mkono wa chuma"
Bavicha mmekosa mada mmeanza kutapatapa
Nyumbu wa kijivu !
Siku nyingine unapo ni quote uandike vitu vya maana na sio matakataka kama haya .Mexene et al., naomba nipigwe ban ya mwaka.kunamijitu inakera mnoo mpaka watamani kuyapiga risas za ubongo.....endeleeni kushangilia hivyo hivyo, mpaka pale atakapoanza kuuwa watu wake wa karibu akihisi wanamuhujumu ndiyo akili zitawakaa saw a.
Mlipo ambiwa hakuna aliye salama ,mnadhan utani. Vyombo vya habari kwapani, bunge kwapani,mahakama kwapani , upinzani kwapani, anaanza na dini kuzitia kwapani maana uchunguzi wa kakobe tumeusikia.
Ule mwisho bado, mpaka atakapo anza kuuwa watu wa chama chake na washauri wake wa karibu ,ndiyo ule utakao kuwa wakati ulio tabiriwa.....endeleeni kushangilia , imbeni mapambio yotee, tukaneni wanaomkosoa woteee, wakati unakuja kila mtu atalia ,kuomboleza na kusaga meno na hakutakuwa na kimbilio.......