Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

tundu lissu ni mropokaji na ana jazba,hana subira wala uvumilivu.abaki tu na hiyo nafasi ya mwanasheria wa chama,urais wapewe nafasi wengine.
 
Hiyo kwa CDM siyo issue ya msingi kwa sasa Elimu ya uraia vijijini ndiyo mpango mzima.
 
tundu lissu kumlinganisha na zitto ni sawa na kumdhalilisha mkuu, tundu lissu amekomaa kisiasa na anaweza kujenga hoja za kiutuuzima pia.Sio zitto anasumbuliwa na unafiki, tamaa na usaliti mkubwa.


Ha ha ha! Unafananisha uendawazimu na ujengaji hoja. Mawazo yako yanasawiri upeo na akili yako
 
wewe na shibuda hakuna tofauti,labda sura tu

Sasa wewe unaona tofauti gani...leo Ngeleja, Malima, January, Zitto,Shibuda na wasela wengine ambao tumesebenza nao humu kitaa nao wanataka urais....we uoni kwa sababu wameona "Mbona msela mwenzetu ameweza, kwa nini sisi tushindwe?"

Kiukweli zamani watu weneye maadili tu ndo walikuwa wanaweza kujadili mbele ya umma kuhusu post hiyo ya urais na siyo wasela na wezi.

Reception ya gest sifa kubwa ni uwezo wa kukesha. Kitu ambacho hawa wanacho.
 
Rais wangu JK angalia sasa ulivyoshuhsa hadhi ya taasisi ya RAIS, tangu ulipoingia madarakani watu wamefikia kuona kumbe yeyote anaweza kuwa rais.Hakika umetia doa taasisi hii nyeti, watu badala ya kupangiana wizara za kuongoza wanasema URAIS.Je ni kweli hiii????????????????????????

Umetumia akili yenye busara nyingi hapa mkuu. Jamani naipenda CDM na mipangilio yake yote lakini Zitto, Mbowe na Lissu kwa Urais BIG NO. Ningepewa nafasi ningemteua Dr. Slaa au Halima Mdee. Pengine tusubiri miaka mitano JJ Mnyika apewe nchi kama Mugabe na Museven
 
Siku hizi nani awe rais nimekuta mpaka mtoto wa darasa la tatu analitafakari, tena anajua kabisa kama JK ni rais dhaifu lol!!!! Kweli hii post imeshuka tangu tulipoanza kusikia rais wa Twanga, mara rais wa Ngwasuma khaaaa kisa Mndenge naye kaongozaaaaa kweli shanga kwake kiunoni ikifika shingoni mkufu

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
MMMH! Urais unaujua vizuri wewe ama unaropoka tu? Kuna mengi ya kumpima mtu. Lissu anaweza kuonekana shupavu lakini vp kuhamaki kwake? Urais ni zaidi ya kuomba miongozo. Elewa hili tafadhali.
 
Wewe mama wewe ndo first lady ninae kujua au la ndo michango yako ilivyo hivi mbona hatari kama ni hivyo
Siku hizi nani awe rais nimekuta mpaka mtoto wa darasa la tatu analitafakari, tena anajua kabisa kama JK ni rais dhaifu lol!!!! Kweli hii post imeshuka tangu tulipoanza kusikia rais wa Twanga, mara rais wa Ngwasuma khaaaa kisa Mndenge naye kaongozaaaaa kweli shanga kwake kiunoni ikifika shingoni mkufu

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Kwasasa CDM Dr. Slaa anafaa japo urais kwake haupatikani toka CDM pekee...wazo langu ni kwamba CDM watafute decent figure toka nje (siyo CCM mafisadi) toka serikalini ambayo wataiuza ikubalike na pande zote CCM na Chadema yenyewe vinginevy CDM kwa watu walionao wataishia kugombana na 2015 wataukosa. Ni-PM nikupe majina matatu toka watumishi wa serikali huru wasio na rekodi mbaya.
 
JK anamwogopa tundu lisu kwa lipi? ana nini huyo? kichwa anafugia nywele tu huyo si chochote,huwezi kumlinganisha na Zito hata kidogo.shule alioenda amekariri masomo tu wala hajaelewa
 
Uchungu wa rasilimali Za nchi upi unaosema. Thibitisha.
Kwa kuwa Tundu lisu Ni Mwanasheria tulitegemea awe makini Katika kuongea lakini si hivyo Bali anaongozwa na hulka Yake anayoionyesha ambayo kila anayemsikiliza akiongea anamtambua kuwa Ni mtu aw namna gani
ni kweli kila mtu anamjua tundu ni mtu wa aina gani,ila tatizo kil mtu na mtazamo wale,wengine wanona ni mbaya sababu anawaeleza ukweli wa tz.mfano mzuri ni wewe hapo,
 
Tundu Lisu = CHADEMA

CHADEMA = Members

Members = Nguvu ya Umma.

Nguvu ya umma = team

Whoever comes from Nguvu ya umma anafaa kuwa rais.
 
There is no comparison with Dr SLAA, let us give him a chance of even five years to lead our beloved Tanganyika. He is stable and firm.
 
Msimsumbue mbunge wangu na miurais yenu ya kitamaa tamaa...huyu mtu ni mbunge wetu tumempa kazi na bado hajamaliza. Acheni wenye tamaa wakimbilie urais.
 
hakuna cha lisu au zito DR SLAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA NI RAIS 2015 alina mjadala kuhusu ilo NAFUNGA MJADALA
 
Kama kilaZA Jk ameweza kuongoza,hata mm namshinda.lissu kichwa....anatawala bunge kama la kwake,lissu ni sawa na wabunge 250 wa ccm+WEREMA.
 
Mi naona sugu atafaa sana, tunataka rais aje kuendeleza bongo flava ili vijana tunufaike. Kila mwezi atuletee waimbaji kutoka majuu, makamu wake awe balozi,pm awe afande sele. Wahalalishe bangi ili wabongo wote tuwe tumelipuka time zote. Bunge lihamishiwe studio ya majani. Hii ndio tanzania tunayo itaka.
 
Back
Top Bottom