Urais 2015: CHADEMA kupoteza 45% ya kura alizopata Slaa 2010

Kwani slaa bado tu anataka kugombania urais?? Mmmhh hana mvuto hata wa kuombea chumvi,bora mbowe mara 1000,lkn ni ukweli kabisa zitto wakimfukuza nahisi watakosa urais asilimia 50 si vyenginevyo,babu nae si apumzike ajiuguze kwanza bana urais unapasanaliti bana
 
Endapo Zitto atafukuzwa CHADEMA, chama kitakuwa kwenye hatihati ya kupoteza 45% ya kura za urais ambazo chama kilizipata mwaka 2010.
Ni dhahiri Zitto ndiye kipenzi cha watu kwenye maeneo ambayo CDM inapendwa kukiko sehemu zingine nchini.

Mshaurini akagombee urais kupitia CUFU/NCCR/TLP/DP
 
Endapo Zitto atafukuzwa CHADEMA, chama kitakuwa kwenye hatihati ya kupoteza 45% ya kura za urais ambazo chama kilizipata mwaka 2010.
Ni dhahiri Zitto ndiye kipenzi cha watu kwenye maeneo ambayo CDM inapendwa kukiko sehemu zingine nchini.

Mkubwa wapiga kura hawabadiliki? Kufuzwa Zitto siyo hoja ni muda tu
 
Endapo Zitto atafukuzwa CHADEMA, chama kitakuwa kwenye hatihati ya kupoteza 45% ya kura za urais ambazo chama kilizipata mwaka 2010.
Ni dhahiri Zitto ndiye kipenzi cha watu kwenye maeneo ambayo CDM inapendwa kukiko sehemu zingine nchini.

Zitto asipofukuzwa chadema kitapoteza kura nyingi sana. Kama chadema inania ya kuchukua nchi ni lazima wamfukuze shetani na malaika zake.

salama ya chadema ni kumfukuza Zitto
 
Endapo Zitto atafukuzwa CHADEMA, chama kitakuwa kwenye hatihati ya kupoteza 45% ya kura za urais ambazo chama kilizipata mwaka 2010.
Ni dhahiri Zitto ndiye kipenzi cha watu kwenye maeneo ambayo CDM inapendwa kukiko sehemu zingine nchini.

Nonesense!... Hata wewe unajua ulichoandika sio kweli...... Ni aibu kupiga ngoma na kuicheza mwenyewe at the same time!...

Mwambie zito akaanzishe chama chake vile anapendwa sana
 
Back
Top Bottom