Wote kijani. Ukiishaiva ile kijani unakuwa akili hiyohiyo ya ukaburu na ukomoaji.uko sawa sawa kweli wewe au una mapepo mimi nina husiano gani na huyo aliyempeleka zitto mahakamani
Aliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.
“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu
Walituahidi viwanda tuliambiwa nchi itakua na viwanda kama Canada naona unjenzi wa viwanda umekamilikaKwa hiyo wanataka kumrudisha Rwanda au Burundi!CCM tuache hizo ,sisi tupige kazi,tunajichora tu na uraia wa Zitto .Ok sema sasa Zitto sio raia ,then mtamyamazisha?hata mkimpeleka nchi aliyozaliwa au kwenye uraia wake ndio kwanza ataongea Zaidi.ACHENI KUJICHORA,TUFANYE KAZI.Yeye Zitto achene aendelee kuongea kwani anawanyima usingizi?wakati kila kitu mnacho?ndege ya sita inaingia leo what is your problem?
nazani atakuwa amefikia kiwangi cha mwisho kabisa cha kufikiriKwa ushauri wangu katika kesi hiyo awaunganishe na Wizara ya Mambo ya ndani ya nchi, pamoja na idara ya uhamiaji kwa kushindwa kufanya majukumu yao ya kumbaini mtu ambaye sio raia. Sijajua vizuri elimu ya mtu aliyeibua tuhuma hizi, ila naamini sio ya kiwango cha kusoma na kuandika.
Mkuu mtoto nyumbani huwa anaangalia baba yake au mama yake huwa anafanya nini, kama baba ni seremala na mtoto kidogo kidogo ataanza kushika nyundo au msumeno.Nina mashaka kama kuna kazi kwa sasa katika ofisi zetu za kiutawala katika ngazi za Wilaya hasa kwa hawa vijana. Huyu baada ya kuwa mbunifu kuwasaidia vijana wetu wa CCM wanaoteswa na ukosefu wa ajira yeye anapigana na akina Zito Kabwe as if ndio agenda yetu ya Chama. Kijana amepata ajira CCM ya Ukatibu wa Wilaya baada afanye yenye manufaa anaanza ujinga. Hasara kabisa huyu kijana maana uraia wa Zito unawezaje kutatua matatizo tuliyo nayo kwa vijana wetu wa CCM.
ni wazi kabisa hao wazee wanne wa aliowaita kutoka ujiji watakuwa wanahusika kwenye kumtatua marinda
Mheshimiwa Katibu inawezekana una hoja, ila chama cha mapinduzi kinaamini katika umoja na undugu kiasi kwamba mwalimu Nyerere alitamani sana kuona kuwa Afrika ni moja. Hoja ya kutaja na kuona kuwa uraia wa Zito ni tatizo ni hoja inayotolewa na wabaguzi tu ambayo Tanzania kutokana na misingi yake inategemewa na kila mtu iwe ya mwisho katika ubaguzi wa namna hiyo. Wapo viongozi wengi ambao walishawahi kutumikia madaraka makubwa ambapo hata kuwatazama tu unaweza kugundua kuwa sio raia wa nchi hii, ila Tanzania iliyoachwa na Mwalimu haikujali hilo kikubwa ni kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi. Tuhuma hizi ziwe ni zakweli au uongo hatufikirii kabisa kwamba mwana CCM anaweza kutamka ubaguzi huu. CCM ni chama chenye historia iliyotukuka ila ikivumilia hawa vijana wenye kupenda kiki imeisha.
si ndio hapo sasa yani wanafikiri kuishi Tanzania lazima uwe raia
Je, wajua kuna watanzania wamezaliwa nyumbani hata hiyo sindano ya ndui hawana?Vigezo vya kumjua raia wa Tz ni rahisi sana. Kwanza, ajue kuimba wimbo wa taifa, pili awe na kovu la sindano ya ndui kwenye mkono wa kulia.
Che Nkapa ndie alianza hayo maujinga. LAKINI Alipoletewa cheti chake cha kuzaliwa kilichoandikwa kwa kireno. Na pia KUKUMBUSHWA kuwa Baba yake Nze Makota alihamia toka Nchumbiji, wakati Ben akiwa na miaka 3/4, kuanzia hapo ndio akaacha maujinga hayo, na akanyamaza.Mheshimiwa Katibu inawezekana una hoja, ila chama cha mapinduzi kinaamini katika umoja na undugu kiasi kwamba mwalimu Nyerere alitamani sana kuona kuwa Afrika ni moja. Hoja ya kutaja na kuona kuwa uraia wa Zito ni tatizo ni hoja inayotolewa na wabaguzi tu ambayo Tanzania kutokana na misingi yake inategemewa na kila mtu iwe ya mwisho katika ubaguzi wa namna hiyo. Wapo viongozi wengi ambao walishawahi kutumikia madaraka makubwa ambapo hata kuwatazama tu unaweza kugundua kuwa sio raia wa nchi hii, ila Tanzania iliyoachwa na Mwalimu haikujali hilo kikubwa ni kufanya kazi kwa bidii na kuwatumikia wananchi. Tuhuma hizi ziwe ni zakweli au uongo hatufikirii kabisa kwamba mwana CCM anaweza kutamka ubaguzi huu. CCM ni chama chenye historia iliyotukuka ila ikivumilia hawa vijana wenye kupenda kiki imeisha.
kwahiyo mzee nkapa cheti yake ya kuzariwa imeandikwa kwa kirenoChe Nkapa ndie alianza hayo maujinga. Alipoletewa cheti chake cha kuzaliwa kilichoandikwa kwa kireno. Na pia Baba yake Nze Makota alihamia toka Nchumbiji, Ben akiwa na miaka 3/4. Kuanzia hapo ndio akaacha maujinga hayo, akanyamaza.
Viongozi wakuu wa CCM wa sasa wote uraia wao na hata kwa sura zao vinatia shaka.
Sawa UVCCM, ENTER the dragon.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiliibuliwa toka Nchumbiji kama ilivyokuwa kwa Rais Chiluba wa Zambia kilipoibuliwa cheti cha kifaransa, toka Kolwezi Kongo, wakati alipokuwa anamsakama Mzee Kaunda.kwahiyo mzee nkapa cheti yake ya kuzariwa imeandikwa kwa kireno
Angeanza na mwenyekiti wa chama chake, kuna ushahidi wa kutosha kuwa ni mhutu kutoka nchi jiraniAliyekuwa Katibu wa (UVCCM) mkoa wa Kigoma ambaye kwasasa amehamishiwa wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam, Agustino Matefu amesema kuwa atamburuza mahakamani mbunge wa Kigoma mjini kupitia chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe kwa madai kuwa sio raia wa Tanzania,
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amedai kuwa ushahidi wote anao.
“Kwasasa nimeamua kwenda mahakamani kumfungulia kesi Zitto Kabwe, sababu sio raia wa Tanzania, nimesafirisha wazee wanne kutoka Kigoma kwa ajili ya kutoa ushahidi,”amesema Matefu