Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

Dual citizenship ! for whose benefit? The reasons given to support dual citizenship are weak and they are intended to give some powerful political leaders and some elites an opportunity to avoid charges or blunders they might do in one country by escaping to another country. Some people support the idea of dual citizenship by saying that it will facilitate more investment in the country and enable Tanzanians to live freely and being able to be employed permanently in other countries - this is good and we support it. The questions are: In which country Tanzanians with dual citizenship stand up for in times of crisis between the two nations? Can't we see that this idea will give the imperialists chances to plant their puppets in weaker countries like Tanzania? And lastly, what guarantee us that these Tanzanians with dual citizenship will be helpful and supportive to Tanzania?

For Tanzanians benefits. What about Kenya what is the major change after dual citizenship? Corrupt people are not running in Kenya but IBM moved their Investment from Tanzania to Kenya because we lack skilled labour and good policy. Kenyan diaspora work with IBM and they are going to have Call Centers, research centers and IT town in Kenya. Tanzanians we are still thinking about who is benefiting. You need to work hard to benefit in this world you can not depend on other people to feed you and that's why Tanzanians are finding their bread all over the world. Our country is poor we are working abroad so as our kids, our parents, our community and our country can be in e better position.
 
Kwa kuwa yasiyowezekana kwa nchi nyingine yanawezekana kwa Tanzania, na Tanzania imekuwa nzuri kwa maandishi lakini si kwa uhalisia ninaamini kwamba chapuo la kupigania uraia wa nchi mbili utaleta athari kwa nchi, wale wanaoshabikia wanalo jambo. Rais ambaye atakuja kuiongoza Tanzania akawa na uraia wa nchi mbili ni Rais Feki.

Nasema huyo ni feki kwasababu si mzalendo halisi, kama unapinga nikuulize kwanini awe na uraia wa nchi mbili.

1. Rasilimali za Tanzania zitaibwa na kupelekwa nchini kwake.

2. Hatakuwa na uchungu na kuanguka kwa uchumi wa hapa Tanzania kwani haumhusu.

3. Hatajali kudorora kwa amani ya Tanzania kwa kuwa anayo nchi yake atakapokimbilia pindi vita inaikumba Tanzania.

4. Raia wa nchi yake hiyo watamilikishwa ardhi ya Tanzania kwani bila kufanya hivyo atakuwa si raia halisi wa nchi ile.

5. mengine jazieni wenzangu..................

TANZANIA ITAONGOZWA NA MTANZANIA HALISI, HATUTAKI RAIS FEKI.
 
India na China mfano kampuni nyingi za Technologia zimeanzishwa na wananchi wao walioenda kusoma nje kufanya kazi na kurudi nyumbani.

Kweli kabisa. Lakini wenyewe hawakuukana uraia wa nchi zao. Walienda kusoma kama raia wa India na China na kurudi kama raia wa India na China.
Sasa wewe unataka uende kusoma kama raia wa Tanzania, halafu urudi kama raia wa Marekani na Tanzania?!?
 
Viongozi wa Tanzania wanatia aibu sana.

Msikilize Membe hapa https://soundcloud.com/vijimambo-blog/mhe-membe

Ndugai anawaongelea "hawa Wazanzibari" kama ni aliens, anawakandya wabunge kwamba hawajui kitu bila qualification.

Membe anakwambia New York (City) kuna Wa Nigeria milioni nne, wakati population nzima ya NYC ni milioni 8.3, sasa hao Wa Nigeria wanafika takriban nusu ya watu wote NYC?

Kaenda kumvua nguo mzee wa watu Amil Jamal na jinsi alivyofariki kwa kukosa matibabu Canada kwa sababu hakuwa na uraia, Jamal kajifia na dignity yake mawazoni mwa Watanzania, leo Membe kamvua dignity yote.

Kaanika magonjwa ya mapacha waliokuwa wanaumwa "sickle cells" na kuhudumiwa na Wizara ya Mambo ya Nje kama mtu asiyejua kwamba habari za ugonjwa wa mtu ni jambo la faragha.

Huyu ni mtu aliyesoma John Hopkins!

Halafu ni top diplomat nchini, hata kuongea suave with savoir faire tu hajui.

Faux paus left right and center.

Halafu unaambiwa huyu ni top contender kwenye presidential race, ana some semblance of being a frontrunner with realistic chances if he can ward off the Lowassa locomotive.

Wabongo tusishangae tukapata rais halafu tukasema "bora hata ya Kikwete"
 
Watahangaika sana lakini kwa mbaaaali naona JK ndiye anayekwamisha kiujanjaujanja mpango mzima wa uraia wa nchi mbili!!!!
 
One interesting thing they discussed is the fear about Omani Arabs wishing to retake Zanzibar.

As someone who has travelled extensively in the Middle East trying to get people to invest in projects in africa I can assure you those people have 1000% moved on bwana.

Manake hawana interest kabisa kurudi Afrika and lets not embarress ourselves to think they would leave the comforts of Oman to come and struggle in Zanzibar. For what?

It aint happening.
 
Ndugai anawaongelea "hawa Wazanzibari" kama ni aliens, anawakandya wabunge kwamba hawajui kitu bila qualification.

Membe anakwambia New York (City) kuna Wa Nigeria milioni nne, wakati population nzima ya NYC ni milioni 8.3, sasa hao Wa Nigeria wanafika takriban nusu ya watu wote NYC?

Kaenda kumvua nguo mzee wa watu Amil Jamal na jinsi alivyofariki kwa kukosa matibabu Canada kwa sababu hakuwa na uraia, Jamal kajifia na dignity yake mawazoni mwa Watanzania, leo Membe kamvua dignity yote.

Kaanika magonjwa ya mapacha waliokuwa wanaumwa "sickle cells" na kuhudumiwa na Wizara ya Mambo ya Nje kama mtu asiyejua kwamba habari za ugonjwa wa mtu ni jambo la faragha.

Huyu ni mtu aliyesoma John Hopkins!

Halafu ni top diplomat nchini, hata kuongea suave with savoir faire tu hajui.

Faux paus left right and center.

Halafu unaambiwa huyu ni top contender kwenye presidential race, ana some semblance of being a frontrunner with realistic chances if he can ward off the Lowassa locomotive.

Wabongo tusishangae tukapata rais halafu tukasema "bora hata ya Kikwete"
Vipi pale aliposema diaspora ni muhimu sana kiasi kwamba Nigeria huwa wanapanga kupindua nchi ili watoe wakimbizi watakaopata makaratasi nje!!! Wanaambiana nipindue, nisipindue sasa hivi? Fulani we pindua! Wakati huo wanakuwa wameshaandaa wakimbizi!!

Sasa jamani kama una uwezo wa kupindua nchi ukashika madaraka kwa nini usuke mpango wa kupata makaratasi ya kwenda kupiga box ilhali nyumbani unaweza kusuka mpango wa kupindua nchi na umeshapindua? Kwa nini uondoke? Hahahahahaaaaa....

Halafu Membe kasema hao watoto mapacha wa balozi Canada mwisho wa siku waliwaajiri. I am sure itakuwa ni hapo kwake foreign kama maafisa ubalozi kwa sababu kasema waliendelea kuishi Canada. Question is, walikuwa na qualification au ni kwa vile walikuwa wanaumwa sickle cell au ni kwa vile ni watoto wa wakubwa? Yani anazidi kuthibitisha bila hata aibu wala kuogopa kilio cha Watanzania wengi kwamba watoto wa viongozi huwa wanabebwa, tena wizara moja inayoongoza kwa hilo hiyo ni foreign affairs.

Kuna jamaa mmoja mtoto wa wakubwa (tena wakubwa waliostaafu bado wanafagiliwa sijui kwa nini), kuna wakati mkewe alifukuzwa kwa kukosa makaratasi ugenini, babaake akaenda kazini, tena wakati huo ndio mmoja wa ma head honcho wa nchi, within one week Tanzania ikamuajiri huyo dada foreign affairs na kum post alipofukuziwa, akapewa visa ya utumishi wa kibalozi, immigration waliomfukuza walikoma na wabongo.... Na ndio hawa viongozi type za kina Membe hawa, hawana sense of equal opportunity. Tena kina Membe wametoka vijijini huko, wameona shida kibao, lakini wanawasahau walikotokea, utadhani Membe alikuwa hajawahi kuona watoto wenye sickle cell kwao Mtwara huko ambao hawana mtu wa kuwapigia mapande wakatibiwe au kuajiriwa foreign affairs.
 
Km anaamini wanigeria milioni 4 wapo New york pekee..si ajabu ndio maana anatafuta kura za watanzania wazamiaji akiamini wapo millioni nyingi sana ktk kila jimbo la US na nchi nyingine..usikute kapiga hesabu hii....kuwa kuna watanzania zaidi ya 1mil ktk kila jimbo,1mX 50 states, + wa nchi nyingine..halafu akafikira kura za JK, halafu akaashumu wote watapiga kura....?Kuna makabila yana laana...kwao ng`ombe ya masikini haizai..na ikizaa inazaa dume..na hivyo ndoto ya kuendelea kunywa maziwa inapotea kila kukicha....
 
Vipi pale aliposema diaspora ni muhimu sana kiasi kwamba Nigeria huwa wanapanga kupindua nchi ili watoe wakimbizi watakaopata makaratasi nje!!! Wanaambiana nipindue, nisipindue sasa hivi? Fulani we pindua! Wakati huo wanakuwa wameshaandaa wakimbizi!!

Sasa jamani kama una uwezo wa kupindua nchi ukashika madaraka kwa nini usuke mpango wa kupata makaratasi ya kwenda kupiga box ilhali nyumbani unaweza kusuka mpango wa kupindua nchi na umeshapindua? Kwa nini uondoke? Hahahahahaaaaa....

Halafu Membe kasema hao watoto mapacha wa balozi Canada mwisho wa siku waliwaajiri. I am sure itakuwa ni hapo kwake foreign kama maafisa ubalozi kwa sababu kasema waliendelea kuishi Canada. Question is, walikuwa na qualification au ni kwa vile walikuwa wanaumwa sickle cell au ni kwa vile ni watoto wa wakubwa? Yani anazidi kuthibitisha bila hata aibu wala kuogopa kilio cha Watanzania wengi kwamba watoto wa viongozi huwa wanabebwa, tena wizara moja inayoongoza kwa hilo hiyo ni foreign affairs.

Kuna jamaa mmoja mtoto wa wakubwa (tena wakubwa waliostaafu bado wanafagiliwa sijui kwa nini), kuna wakati mkewe alifukuzwa kwa kukosa makaratasi ugenini, babaake akaenda kazini, tena wakati huo ndio mmoja wa ma head honcho wa nchi, within one week Tanzania ikamuajiri huyo dada foreign affairs na kum post alipofukuziwa, akapewa visa ya utumishi wa kibalozi, immigration waliomfukuza walikoma na wabongo.... Na ndio hawa viongozi type za kina Membe hawa, hawana sense of equal opportunity. Tena kina Membe wametoka vijijini huko, wameona shida kibao, lakini wanawasahau walikotokea, utadhani Membe alikuwa hajawahi kuona watoto wenye sickle cell kwao Mtwara huko ambao hawana mtu wa kuwapigia mapande wakatibiwe au kuajiriwa foreign affairs.

Membe anaweza kusababisha a diplomatic kerfurffle kwa loose talk.

Hivi ninavyoandika maneno haya, serikali ya huko huko Nigeria alikokusema.imemuita afisa wa ubalozi wa Zimbabwe Nigeria atoe maelezo juu ya kauli za rais Mugabe alizozitoa kwamba Wazimbabwe wanakuwa corrupt kama wa Nigeria.

Halafu hilo.suala la kupindua nchi likon so sensitive kiasi kwamba the mere mention of it by such a highly placed officer should be anathema, lest the.mentioning plant some ideas in the heads of some hotheads.

Membe talks about a coup like it's fetching water from a tap!

Hizo ajira foreign kwa watoto/ ndugu za "wakubwa" fulani ni noma. Kuanzia Malecela, Mongella, Sokoine, Karume kuna.mwingine amefariki juzi ubalozi wa bongo US, hao ni kwa haraka haraka tu ambao nawajua kuna wengine kibao. Halafu hawa ndio wanatakiwa kuwa "creme de la creme", wameajiriwa by pedigree, not merit.

Apparently like Orwell said, we are all equal, but some of us are more equal.
 
KUUMWA KWA MZEE JAMAL,AGIZO LA MWL NYERERE NA UTEKELEZAJI WA MEMBE KUHUSU SERA YA URAIA PACHA.

Jana niliahidi kuendelea na simulizi kuhusu mambo kadhaa yamhuhusuyo Ndg.Bernard Kamilius Membe na siasa za nchi yetu.Simulizi hizi zipo katika mtindo wa "series".Kila "episode" ya "series" hizi itahusisha matukio muhimu yasiyo maarufu kwa watu wengi lakini yana mvuto wa kipekee katika wasifu wa Ndg.Bernard Kamilius Membe.

Nitaendelea nilipoishia jana......

Baada ya Mwl.Julius Kambarage Nyerere kumpatia majibu Ndg.Bernard Kamilius Membe kuhusu swali la Ndg.Jakaya Mrisho Kikwete juu ya ushiriki wa vijana kwenye kinyang'anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1995 uliojumuisha vyama vingi,likaibuka suala la ugonjwa na matibabu ya aliyewahi kuwa waziri wake wa fedha enzi za uongozi wake aliyeitwa Mzee Jamal.

Kwa vijana wa sasa wasiomjua Mzee Jamal huyu alikuwa waziri wa fedha katika serikali ya awamu ya kwanza chini ya uongozi wa Mwl.Julius Kambarage Nyerere.Alikuwa na asili ya kihindi.Lakini ni mzawa wa nchini Tanzania.

Alikuwa mfanyabiashara,raia mwema aliyeshiriki katika mapambano ya kupigania uhuru tangu enzi za TANU hadi pale ilipozaliwa CCM.

Baadaye aliachana na siasa.Akarejea katika shughuli zake binafsi.Na hata umri ulipomtupa mkono alisafiri kuishi na mwanaye nchini Canada hadi umauti ulipomfika.Alikuwa rafiki mkubwa wa Mwl.Julius Kambarage Nyerere.

Wakati wa mazungumzo yao mengine Ndg.Bernard Kamilius Membe alimjulisha Mwl.Julius Kambarage Nyerere juu ya hali ya afya ya rafiki yake wa muda mrefu Mzee Jamal.

Kwa wakati huo Mzee Jamal alikuwa akiumwa sana.Na gharama za matibabu zilikuwa juu sana nchini Canada hivyo kufanya familia yake kushindwa kuzimudu ipasavyo.

Pamoja na kuwa mfanyabiashara miaka ya nyuma na kuwahi kuwa waziri wa fedha enzi za Mwl.Julius Kambarage Nyerere lakini hakuweza kujilimbikizia mali wala kukwepa kodi.

Baada ya Mwl.Julius Kambarage Nyerere kuelezwa na Ndg.Bernard Kamilius Membe kuhusu kuumwa kwa Mzee Jamal ilibidi Mwl.Julius Kambarage Nyerere aombe ofisi za ubalozi kupelekwa siku inayofuata kumwona na kumjulia hali rafiki yake Mzee Jamal.

Siku iliyofuatia alipelekwa akiambatana na Ndg.Bernard Kamilius Membe.Hali aliyomkuta nayo Mzee Jamal haikuwa nzuri sana.Mtoto wake alilia sana akiomba msaada wa kugharamiwa matibabu na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ubalozi uliopo Canada.

Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliumizwa sana na hali ile.Akamwagiza Ndg.Bernard Kamilius Membe kuzungumza na Balozi wetu wakati huo nchini Canada ili apate mihadi ya kuonana na waziri mkuu wa Canada wa wakati huo ambaye alikuwa na mahusiano naye mazuri.Nia ni kuzungumzia suala la matibabu ya Mzee Jamal.

Baada ya waziri mkuu wa Canada kuridhia kuonana na Mwl.Julius Kambarage Nyerere siku ilipowadia Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliambatana na Ndg.Bernard Kamilius Membe katika kikao kila na waziri mkuu wa Canada.

Mazungumzo yalikuwa na ajenda moja tu ya matibabu ya Mzee Jamal.Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliomba msaada wa matibabu bure kwa Mzee Jamal kwasababu familia yake haimudu gharama zake na hali ya Mzee Jamal inazidi kuwa mbaya kila siku iendayo kwa Mungu.

Waziri mkuu wa Canada aliridhia kusaidia gharama za matibabu ya Mzee Jamal lakini akishauri kuwa kwakuwa nchini kwake matibabu ni bure(kwa wakati ule-sijajua kwasasa)lakini kwa mtu mwenye uraia hivyobasi akaagiza Mzee Jamal apatiwe hati ya kusafiria ya Canada na uraia kamili wa Canada.Alifanya hivi kwasababu wao wanaridhia uraia pacha(dual citizenship)lakini kwakuwa Tanzania hatuna sera hii basi ni lazima Mzee Jamal aukane uraia wake wa Tanzania na kupatiwa wa Canada.

Kwa mazingira ya wakati ule Mwl.Julius Kambarage Nyerere na familia ya Mzee Jamal hawakuwa na namna nyingine zaidi ya kukubaliana na ushauri wa waziri mkuu wa Canada ili kuokoa maisha ya Mzee Jamal.

Baada ya kikao kile jukumu la kushughulikia suala la uraia wa Mzee Jamal likakabidhiwa kwa mamlaka husika ya serikali ya Canada na ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pale Canada ukawa na jukumu la kuwasilisha nyaraka muhimu za Mzee Jamal zitakazosaidia kuthibitisha uraia wake wa Tanzania kabla ya kuhamia katika uraia wa Canada.Na ubalozi ukampatia jukumu la kuratibu hili suala Ndg.Bernard Kamilius Membe.

Kwakuwa Mwl.Julius Kambarage Nyerere alikuwa na majukumu mengine katika hizo ziara zake ilimlazimu aendelee na majukumu hayo.Lakini aliambatana na Ndg.Bernard Kamilius Membe kwenda kumuaga Mzee Jamal na familia yake.Wakati akiwa uwanja wa ndege wa nchini Canada baada ya kutoka kumuaga Mzee Jamal na familia yake akielekea nchini Marekani Mwl.Julius Kambarage Nyerere alimwambia Ndg.Bernard Kamilius Membe kuwa ipo haja ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia suala la uraia pacha(dual citizenship)ambao wakati wa uongozi wake waliukataa lakini changamoto ya suala la matibabu ya Mzee Jamal limempa tafakuri kubwa sana.

Siku chache mbeleni tangu Mwl.Julius Kambarage Nyerere aondoke kuelekea nchini Marekani huku nyuma Ndg.Bernard Kamilius Membe kwa kushirikiana na serikali ya nchini Canada na ofisi za ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Canada walifanikisha kupatikana kwa uraia kamili wa Canada wa Mzee Jamal na kuijulisha familia ya Mzee Jamal kuwa wamwandae baba yao kwa ajili ya kufuatwa akaanze matibabu chini ya uangalizi wa serikali ya Canada kwa maelekezo ya waziri mkuu wa Canada.

Siku ya kwenda kumchukua Mzee Jamal ili akaanze matibabu Ndg.Bernard Kamilius Membe akiambatana na ujumbe wa serikali ya Canada nyumbani kwa Mzee Jamal kwa bahati mbaya walipofika tu wakakuta msiba.Mzee Jamal alikuwa kafariki muda mchache kabla ya wao kufika pale.Lilikuwa ni pigo kubwa kwa familia,serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na serikali ya Canada.Kubwa zaidi Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliumia sana alipopata zile taarifa.Rafiki yake mkubwa alikuwa kaaga dunia.

Na hii ndio ikawa sababu kuu ya Ndg.Bernard Kamilius Membe kuwasilisha hoja kuwa katika mchakato wa katiba mpya wakati akiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kiwepo kipengele kinachozungumzia suala la uraia pacha(dual citizenship).

Na alitoa sababu muhimu zenye mashiko ili uraia pacha(dual citizenship)iwe ni haki ya kila mtanzania huku suala la Mzee Jamal ikiwa ni moja kati ya "precedents" zinayoishi hadi leo.

Nihitimishe kwa kusema tu kwamba uraia pacha(dual citizenship)haikuwa hoja binafsi ya Ndg.Bernard Kamilius Membe bali ilikuwa na chimbuko lake.Na uzuri wa hoja hii Mwl.Julius Kambarage Nyerere aliweza kumshirikisha hata Mzee Kingunge Ngombale Mwiru miaka ile wakati akimwelezea hali aliyomkuta nayo Mzee Jamal nchini Canada kabla ya umauti kumfika.

Je unajua kwamba "wanamtandao" walikuwa watano tu?

Tukutane tena kesho muda kama huu.......
 
Kwa Mzee Amir Habib Jamal, alikuwa mtu mzima na mgonjwa. Uraia wa Kanada unampa huduma ya bure ya afya na kiinua mgongo cha kila mwezi kwa wazee wastaafu kama yeye. Kwa nini amsubiri Nyerere kumsaidia wakati watoto wake ni raia wa Kanada na wanajua faida yake kwa mzee wao hasa ukizingatia kuwa hawakuwa matajiri.

Mzee Jamal alishaomba uraia kisiri kabla ya Nyerere kuingilia kati kwa kuwa alikwenda Kanada kustaafu na kuwa karibu na watoto wake.

Mzee Amir Habib Jamal ni Koja, Muismailia anayefuata kiongozi wao, Aga Khan. Jumuia hii ni ya kitajiri ambayo ilianza kuondoka Tanzania mapema sana miaka ya 70 na 80 na Kiongozi wao ni rafiki wa PierreTrudeau, ambae alikuwa Waziri Mkuu kama mtoto wake, Justin Trudeau sasa. Aliwasaidia jumuia hiyo kuhamia Kanada baada ya Iddi Amin kuwafukuza. Makoja wengi waTanzania walihamia Kanada pia baada ya biashara zao kutaifishwa na Nyerere.

Familia yake pia ilikataa ombi la Nyerere la kurudisha mwili wake Tanzania ili azikwe na heshima zote. Walishaamua Kanada ni nyumbani sio Tanzania tena.

Sources:
ismaili.net
policyoptions.irpp.org
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom