Uraia Wa Jenerali Ulimwengu

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Jamani Nimeona Watu Wakijadala Kuhusu Uraia Wa Iddi Simba, Rostam Aziz Na Wengine Wengi Lakini Tukasahau Kuongea Kidogo Kuhusu Uraia Wa Jenereali Ulimwengu

Mimi Niliwahi Kusoma Makalakwamba Yeye Ni Mnyrwanda Enzi Hizo

Hili Suala Ni Ukweli Au Lilitumika Kunyamazisha Kisiasatu ?
 
mwaka huu umeamua...

yasikushinde njiani tu
 
Jamani Nimeona Watu Wakijadala Kuhusu Uraia Wa Iddi Simba, Rostam Aziz Na Wengine Wengi Lakini Tukasahau Kuongea Kidogo Kuhusu Uraia Wa Jenereali Ulimwengu

Mimi Niliwahi Kusoma Makalakwamba Yeye Ni Mnyrwanda
Enzi Hizo

Hili Suala Ni Ukweli Au Lilitumika Kunyamazisha Kisiasatu ?

Mi nadhani ingekuwa busara na vema zaidi kama tukianza kuujadili uraia wako.
 
Jamani Nimeona Watu Wakijadala Kuhusu Uraia Wa Iddi Simba, Rostam Aziz Na Wengine Wengi Lakini Tukasahau Kuongea Kidogo Kuhusu Uraia Wa Jenereali Ulimwengu

Mimi Niliwahi Kusoma Makalakwamba Yeye Ni Mnyrwanda Enzi Hizo

Hili Suala Ni Ukweli Au Lilitumika Kunyamazisha Kisiasatu ?
Yeye ni raia wa Tanzania na kama utakumbuka alishawahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, sambamba na waliowahi kuwa mawaziri kama Dereck Bryson na Amir Jamal nk walikuwa raia wa Tanzania. Tatizo la huyu Ulimwengu ni Uwazi na Ukweli alionao.
 
Shy ur Shy exactly.....mbona unauliza maswali yenye majibu??....anyway topic hii itawasaidia kujua nini kilimtokea Jenerali na ninadhani Saed Kubenea yuko njiani......ndio siasa zetu na ni moja ya njia inayotumiwa na wanasiasa wetu kunyamazisha wasema ukweli.....Unakumbuka pia Oscar Kambona na yeye aliwahi kuambiwa sio raia wa Tanzania???
 
Ulimwengu alivuliwa uraia baada ya kumkosoa Benjamin Mkapa pale Palm Beach Hotel kwenye vikao vya whiskey.

Mkapa na Ulimwengu walikuwa wanafanya kazi pamoja zamani na walikuwa karibu sana.Mkapa alivyopata urais siku za kwanza kwanza alikuwa anaenda Palm Beach Hotel pale Sea View kwenye vikao vya whiskey na wazee wa foreign/ usalama.Sasa Ulimwengu akajisahau kwamba Mkapa sasa ni "Mr. President" akawa anamchambua kama mshikaji tu mezani, Mkapa kama kawaida mtu wa hamaki akamwambia pale pale "utanitambua" ndio akaanzisha kampeni ya kumvua uraia, baadaye baadaye akaonewa haya akarudishiwa uraia wake.

Kuna wengine wanasema pia Ulimwengu alikuwa anafanya deal na Kagame Mkapa akammind.

Lakini kwa kufuata kizazi Ulimwengu ni Mnyarwanda aliyekaa sana Tanzania na I am not sure kama alichukua uraia formally au ndio wale watu waliokaa kwenye system mpaka unafikiri ni raia kumbe siyo (Mungai etc)
 
Ni madai yasiyokuwa na ukweli wowote. Mr Jenerali kama watu wengine ni watu wanaoitakia mema nchi yetu kwa kukosoa yale ambayo yatapoteza dira na mustakabali wa nchi yetu kwa njia ya uandishi. Tukianza kuchambuana tutajikuta wote sio raia wa nchi hii.Tusifichane Marekani unayoiona leo hii haikujengwa na wazawa.Kwa kusema hivyo tumuache Ulimwengu kama Ulimwengu tuizungumzie nchi yetu.
 
KUMBE NDO MAANA ALITUHARIBIA ELIMU YETU.....UMITASHUMTA,UMISETA..MITAALA...VITABU VYA ZIADA NA KIADA...YEYE WATOTO WAKE ANASOMESHA NJE HUKU NI WAZIRI WA ELIMU.....!I NOW READ BTN THE LINES.....
 
Shy ur Shy exactly.....mbona unauliza maswali yenye majibu??....anyway topic hii itawasaidia kujua nini kilimtokea Jenerali na ninadhani Saed Kubenea yuko njiani......ndio siasa zetu na ni moja ya njia inayotumiwa na wanasiasa wetu kunyamazisha wasema ukweli.....Unakumbuka pia Oscar Kambona na yeye aliwahi kuambiwa sio raia wa Tanzania???

Said Maulid(SMG) je naye tumjadili?hayohayo yalimpata.
Ushauri wangu ila mjadala uende vizuri,wachangiaji waende www.parliment.go.tz watasome Citizenship Act afu ndio turudi hapa kuchangia maana sheria hiyo inasema raia ni nani,na uko wa aina ngapi kwa hapa Tanzania na kuna taarifa kuwa kuna tamko fulani lilitolewa baada ya uhuru kuhusu watu wasio raia na raia na wanaozaliwa kutokana na watu wasioraia.
 
Ni madai yasiyokuwa na ukweli wowote. Mr Jenerali kama watu wengine ni watu wanaoitakia mema nchi yetu kwa kukosoa yale ambayo yatapoteza dira na mustakabali wa nchi yetu kwa njia ya uandishi. Tukianza kuchambuana tutajikuta wote sio raia wa nchi hii.Tusifichane Marekani unayoiona leo hii haikujengwa na wazawa.Kwa kusema hivyo tumuache Ulimwengu kama Ulimwengu tuizungumzie nchi yetu.

Well done. Huo ni ukweli usiopingika hata kidogo.
 
Tunao wanyarwanda wengi ambao wanatamani nafasi kama aliyoipata Jenerali Ulimwengu.

Sasa wageni watuachie nchi yetu na wale waliobahatika waachwe wale matunda ya kujitolea kwao kwa nchi hii
 
tatizo si nani Raia wa Tanzania na na si Raia wa Nchi hii,Je ni kwa vipi mtu ambaye si Raia au Ni Raia ameisadia nchi hii.Je ametuangamiza?

Je uanfikiri Mkoloni RA kalisaidia nini taifa?
 
Jamani Nimeona Watu Wakijadala Kuhusu Uraia Wa Iddi Simba, Rostam Aziz Na Wengine Wengi Lakini Tukasahau Kuongea Kidogo Kuhusu Uraia Wa Jenereali Ulimwengu

Mimi Niliwahi Kusoma Makalakwamba Yeye Ni Mnyrwanda Enzi Hizo

Hili Suala Ni Ukweli Au Lilitumika Kunyamazisha Kisiasatu ?

shy mbona hili lilimalizwa zamani; serikali ilishamtangaza kuwa si raia (hivyo siyo suala la kusikia) na akatakiwa kutoa maombi ya uraia wa Tanzania ambao alipewa hivyo yeye ni Rais halali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Lakini Mzee Mwanakijiji, hili suala la Jenerali Twaha Ulimwengu lilikuwa ni la kisiasa pamoja na kuwa ni 'mtu wa usalama wa Taifa'.
 
Mbarikiwa nani alikwambia Jenerali ni mtu wa usalama??thibitisha hili!haya ndiyo yale yale kwamba Mwanakijiji naye ni mkalamba.
 
Jamani suala la uraia wa Ulimwengu tumekwishalijadili hapa JF,mbona limerudi tena?JU kwa sasa ni raia wa kitanzania na uraia wake aliupata kwa kufuata taratibu zote za uhamiaji na kutangazwa magazetini kama wengina wanavyotangazwa.
 
ni wazi kuwa taifa hili la tanzania mtu yeyote ambaye atakuwa mkweli na atakuwa anaikosoa serikali akiwa na nia thabiti basi akae akijua kuwa yaliyomkuta mzee ulimwengu yanaweza kumkuta na yeye pia.

na hii ndio inapelekea watanzania wengi kuwa waoga na kuendelea kubuluzwa kama ng'mbe wa jembe.

na katika maisha yangu sintashangaa kusikia miongoni mwa wana JF si raia wa tanzania, na hii inatokana na kutoogopa kusema ukweli ambayo ndio imekuwa sera kuu maishani mwetu...aluta continua
 
Siku sisi akina Madela Wa Mdilu tukionyesha pua zetu hadharani pale Tanzania tutaambiwa hivyo hivyo wewe si raia wa Tanzania.

Nakuongezewa kwamba tumechukua uraia wa Marekani na kuukana wa Tanzania.

Hii Gia ya kuwaita watu siyo Raia wa Tanzania pale wanapotoa ukweli unapasua Maini Nyongo na Makende imepitwa na wakati.
Wanatakiwa wabuni mbinu nyingine.

Watu ngangali, wakichimbwa undani wao, hawajivunii ndita na kunguruma kama Mbweha wenye njaa kali,hutuliza Boli na kujibu hoja kwa hoja.
 
Back
Top Bottom