Uraia Pacha waendelea kuikosesha Tanzania wanamichezo Mahiri

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
IMG_20191013_081755.jpg

Malaika Mihambo mwenye uraia wa Ujerumani apendekezwa kuwania tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Ulaya kwa Wanawake

Malaika amezaliwa na Mama Mjerumani na Baba mwenye asili ya Zanzibar (Tanzania)


Tanzania tunaogopa nini kuhusu Uraia pacha?

Tanzania tunakwama wapi?
 
Uraia Utaifa inapaswa usinunuliwe, mtu kama amekulia Tanzania na culture za kitanzania ni mtanzania kuliko yule mwenye karatasi linalosema yeye ni mtanzania wakati hajui wala hajawahi kukanyaga ardhi ya Tanzania.., all in all dunia ni kijiji na mimi binafsi ni raia wa dunia..,
 
Back
Top Bottom