Uraia pacha iwe ni wa familia

Kiti

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
343
250
Mawazo yangu tu. Kuna Watanzania walioko diaspora miaka mingi wameoa au kuolewa na wana watoto.

Kama ni uraia pacha watapewa wote? Maana watu wanaweza kuwa wameoana miaka hata zaidi ya kumi kwenye community of property.

Maana Mali zao ziko pamoja. Ukimpa mmoja uraia pacha na wakaja kuwekeza mapesa yao hapa, hao wengine watakuwa hawana chao kama mwenye uraia akitangulia mbele ya haki.

Maana hata hiyo ardhi hawaruhusiwi kuwa nayo kwa kuwa ni foreigner.
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
5,332
2,000
KIla mwenye asili ya Tanzania ana haki ya kuwa Raia. TUnapozungumza asili tunamaanisha kwamba wazee wake waliishi au waliwahi kuwa raia kwenye nchi kwa muda fulai, yawezekana akawa babu, bibi, au hata babu.
 

black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
18,856
2,000
Vipi kuna harufu ya kuwa na Dual ama?

Kama ni hivyo itategemea na sheria itakavyokuwa maana kila nchi Ina sheria zake

Lakini zipo nchi ambazo zinatoa kwa wote pamoja na watoto Uraia pacha

Tz wamechelewa sana kwa kuwa na Dual citizenships na wanakosa mapato mengi sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom