Urafiki

geofrey eston

New Member
Nov 27, 2012
1
0
Urafiki ni moja ya jamii katika maisha yetu ya kila siku na tunaweza kusaidiana katika matatizo mbalimbali yanayo weza kutupata na kuweza kuyatatua au kushauliana jinsi ya kutatua na kuiendeleza jamii yetu. Hayo yote ni moja ya njia nzuri kwa kujenga urafiki mzuri kwa kila mtu umuonae au ulie karibu naye.
 
Hapa ngoja nijifiche maana somo la leo naona alieleweki!

Je ni swali lile?
Ni ushauri ule?
Je ni ujumbe ule?
 
Back
Top Bottom