Urafiki

Machizi sikusoma nao...

Tulikutana tu mtaani...

Udogoni sikucheza nao...

Lakini ndio machizi wa ukubwani...

Machizi sikusoma nao...

Tulikutana tu mtaani...

Udogoni sikucheza nao...

Lakini ndio machizi wa ukubwani...

Haijalishi kuwa na ngapi, bali wangapi uko nao...

Washikaji ambao, kosa lako lao wakati hauna mafao...

Wanaokufikiria wewe muda ambao wenzao walonao...

Wanafikiria wengine ndio wanao, nao...

Kupata Washikaji ukiwa na Pesa ni rahisi...
 
Back
Top Bottom