Urafiki wa unafiki

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
Kuna dhana ya (conspiracy) kwamba ule mkataba wa Lemera unaanza kutimia, Mawakala wa Kitusi wameshajitwalia mamlaka katika eneo la maziwa makuu, sasa eneo limeshikwa na wanamtandao, wanaosema haya wanahoja nzito, lazima tuwasikilize tusije jikuta tupo mateka mithiri ya Mikhael Gobachev na anguko la Soviet chini ya CIA na Magreth Tharcha

Usishangae kusikia vikosi vya MUNUSCO vinavyoongozwa na Tanzania vinaondolewa Kongo Kaskazini, pia usishangae kundi la uasi la IDF likipata nguvu mpya,

Sahauni juu ya amani ya Kongo... Baba wa Amani Tanzania ndie mwenye kura ya veto juu ya hili..
 
Back
Top Bottom