Urafiki wa Rais Kagame wa Rwanda na Rais Dkt. Magufuli wa Tanzania una faida kuliko inavyodhaniwa

Kama kuna siku ambayo Rais Dkt. Magufuli amenifurahisha na kuzidi kunifanya nimpende, nimkubali na nimwamini sana huku nikimuhifadhia Kura yangu Kwake mwaka 2020 ni Kitendo chake cha ' Kukiri ' kwamba Kwanza anampenda mno Rais wa Rwanda Paul Kagame na pia alifuata ushauri wake mzuri wa Kununua Ndege Saba ( 7 ) ambazo zitasaidia kuinua Uchumi wa Tanzania.

Ni ' Mpuuzi ' tu na Mvivu wa Kufikiri ndiyo atahoji kwanini Rais Dkt. Magufuli anampenda na yuko karibu sana na Rais wa Rwanda Paul Kagame ila ukweli ni kwamba kwa Mtu ' Mwerevu ' kabisa huwezi ukaacha kuwa karibu na Wanyarwanda tena wa Kabila la Watutsi wanaoongozwa na ' Jemedari ' na ' Mwanamume ' wa Shoka Pau Kagame ( Rais )

Nikushauri tu Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli kuwa usichoke na kuacha kuwa karibu na Rais Kagame kwani kuwa nae karibu huyo Mtu ni sawa sawa na kusogelea Sebuleni kwa Mwenyezi Mungu ambako kuna ' baraka ' zote na utafanikiwa sana na kuwasaidia Watanzania wako wengi.

Ubarikiwe mno na Wanyarwanda tunakupenda sana na labda tukuombe tu kuwa usiishie tu kuchukua mawazo yetu haya mazuri ila ukiweza na kama pia utaona inafaa basi kama unaona kuna mahala popote pale katika Sekta zako fulani fulani au Idara zako fulani fulani tena zile zilizo ' Nyeti ' kabisa usisite kuwateua Wanyarwanda kwani watakusaidia ' Kiutendaji ' kuliko hata Watanzania wengi ambao wamewekeza tu katika Majungu, Fitna na Uswahili mwingi bila kusahau ' Unafiki ' uliotukuka na ndiyo hao hao wanakurudisha nyuma katika juhudi zako za kuiletea Maendeleo chanya Tanzania.

Nimefurahi mno leo kukusikia ukimshukuru Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye umekiri kabisa kuwa ndiyo Rafiki yako mkubwa na mzuri hivyo nadhani sasa niwaombe pia na wale Watanzania ' wapuuzi ' fulani fulani ambao wana chuki za wazi kabisa na Wanyarwanda na Rais Kagame waache mara moja na waungane nasi kwani ' tumebarikiwa ' sana na Mwenyezi Mungu na tutawainua si tu Kimaisha bali hata Kifikra kama siyo Kiakili pia.

Akhsante Rais Dkt. Magufuli
Akhsante Rais Paul Kagame
Abarikiwe sana GENTAMYCINE
Walaaniwe vibaya wale wote wanaoichukia Rwanda na Rais wao.

Nawasilisha.

Huyu nae ameiba Id ya huyu bwana?
 
We jamaa unavyowasifia hao Watutsi utafikiri umepata ****a huko.unatia kinyaa.
 
Vijana wapuuzi tu wa kutetea matumbo yao na njaa zao kwa watawala ilimradi wanashiba tu. Hakuna lolote la kufaidisha urafiki huu.Tanzania si rwanda hata siku moja.
 
Nashukuru tu kwa Kuujua uwezo wako wa Kufikiri ulipoishia.
 
Kama kuna siku ambayo Rais Dkt. Magufuli amenifurahisha na kuzidi kunifanya nimpende, nimkubali na nimwamini sana huku nikimuhifadhia Kura yangu Kwake mwaka 2020 ni Kitendo chake cha ' Kukiri ' kwamba Kwanza anampenda mno Rais wa Rwanda Paul Kagame na pia alifuata ushauri wake mzuri wa Kununua Ndege Saba ( 7 ) ambazo zitasaidia kuinua Uchumi wa Tanzania.

Ni ' Mpuuzi ' tu na Mvivu wa Kufikiri ndiyo atahoji kwanini Rais Dkt. Magufuli anampenda na yuko karibu sana na Rais wa Rwanda Paul Kagame ila ukweli ni kwamba kwa Mtu ' Mwerevu ' kabisa huwezi ukaacha kuwa karibu na Wanyarwanda tena wa Kabila la Watutsi wanaoongozwa na ' Jemedari ' na ' Mwanamume ' wa Shoka Pau Kagame ( Rais )

Nikushauri tu Rais wa Tanzania Dkt. Magufuli kuwa usichoke na kuacha kuwa karibu na Rais Kagame kwani kuwa nae karibu huyo Mtu ni sawa sawa na kusogelea Sebuleni kwa Mwenyezi Mungu ambako kuna ' baraka ' zote na utafanikiwa sana na kuwasaidia Watanzania wako wengi.

Ubarikiwe mno na Wanyarwanda tunakupenda sana na labda tukuombe tu kuwa usiishie tu kuchukua mawazo yetu haya mazuri ila ukiweza na kama pia utaona inafaa basi kama unaona kuna mahala popote pale katika Sekta zako fulani fulani au Idara zako fulani fulani tena zile zilizo ' Nyeti ' kabisa usisite kuwateua Wanyarwanda kwani watakusaidia ' Kiutendaji ' kuliko hata Watanzania wengi ambao wamewekeza tu katika Majungu, Fitna na Uswahili mwingi bila kusahau ' Unafiki ' uliotukuka na ndiyo hao hao wanakurudisha nyuma katika juhudi zako za kuiletea Maendeleo chanya Tanzania.

Nimefurahi mno leo kukusikia ukimshukuru Rais wa Rwanda Paul Kagame ambaye umekiri kabisa kuwa ndiyo Rafiki yako mkubwa na mzuri hivyo nadhani sasa niwaombe pia na wale Watanzania ' wapuuzi ' fulani fulani ambao wana chuki za wazi kabisa na Wanyarwanda na Rais Kagame waache mara moja na waungane nasi kwani ' tumebarikiwa ' sana na Mwenyezi Mungu na tutawainua si tu Kimaisha bali hata Kifikra kama siyo Kiakili pia.

Akhsante Rais Dkt. Magufuli
Akhsante Rais Paul Kagame
Abarikiwe sana GENTAMYCINE
Walaaniwe vibaya wale wote wanaoichukia Rwanda na Rais wao.

Nawasilisha.
Mama nae huyo ziarani kwa Tolu
 
Back
Top Bottom