Urafiki wa Police jamii, shirikishi kwa wananchi ni sawa na urafiki wa Chui na Mbuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urafiki wa Police jamii, shirikishi kwa wananchi ni sawa na urafiki wa Chui na Mbuzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Msandawe Halisi, Jan 24, 2011.

 1. Msandawe Halisi

  Msandawe Halisi JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 649
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot]Police jamii, police shirikishi ilinifanya kupoteza maumivu yangu ya Muda mrefu juu ya kifo cha rafiki yangu, ndugu yangu kijana mwenzangu ailiyekuwa anatambulika kwa jina la Issa Nassor miaka ya Ninetiz, kijana aliyekuwa anaasili ya Arabuni. Kijana huyu alikuwa akifahamika kwa jina maarafu Issa Nyaku.[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT][FONT=&quot]Huyu Issa Nyaku kwa kipendi kirefu alikuwa akitafutwa na askari wa kituo cha Police Kwamtoro Kondoa. Hilo alikuwa tabu kwangu, ni kawaida wa mtu yeyote yule ambaye amevunja sheria na taratibu za nchi. Kilicho niuma ni jinsi huyu kijana alivyo kufa, alikufa kinyama sana chini ya mikono ya Police.[/FONT]

  [FONT=&quot] Nakumbuka, alipokamatwa alitembezwa takriban kilometa 20 akiwa uchi wa mnyama. Njiani kote alipigwa sana na hao Police. Alipofika kituo cha Police Issa alikataa roho. Wale Police wote walio husika walikamtwa, na moja wapo nilikutana naye Dar siku moja. Sipendi kufahamu sheria ilichukua nafasi gani.[/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT][FONT=&quot]Sikupendezwa sana na Uongozi wa Jeshi la Police Chini ya IGP Omar Mahita kwa taratibu za jeshi kipindi hicho. Moyo wangu ulirudisha matumaini kwa jeshi la Police Chini ya IGP Said Mwema. Hasa alipoanzisha utaratibu wa Police shirikishi na Police jamii. Nia ni kutaka Mwanachi ajione sehemu ya Police, Police sehemu ya mwananchi.[/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT][FONT=&quot]Kitu ambacho kimerudisha maumivu yangu tena, ni kitendo cha police kuua raia wasio na hatia Arusha. Nikajuuliza, hawa sio ndungu zetu, hawataki tena kufunga harusi na sisi. Nikaona huu siyo urafiki mwema, urafiki wa mbuzi na chui. Nikatafakari kwa kina, nikaona kwa umbali siyo makosa ya mtu ambaye nilimkubali sana, IGP Mwema. Nikagundua ni makosa ya katiba. Katiba ambayo inampa uwezo Rais amteue IGP.[/FONT]

  [FONT=&quot]
  Mimi ni moja wa wanaokandamizwa na katiba hii, Wanachi hima hima kwa pamoja tuungane juu ya ombi la katiba mpya. Tupate katiba ambayo aina udikitekta ndani yake.
  [/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT][FONT=&quot]Wana JF Still nipo kwa ndugu zangu Warangi, Siku njema wana JF[/FONT]
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Police hana Rafiki ndugu yangu! yan ni kama kufuga simba, siku akiwa na njaa anakumaliza wewe mfugaji! hatambui tena mchango wako uliompa kwa muda wote huo. Ni kweli katiba mpya yaweza kuwa suluhisho.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Uhusiano wowote mzuri kati yetu wananchi tayari ulizikwa siku ile ambapo mashujaa wetu Denisi Michal na Omary Ismael walipopumzishwa kaburini. Sasa hivi na polisi tupo tupo tu tukisubiri kuwatia adamu kwenye katiba mpya.
   
 4. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kweli Msandawe! Katiba mpya ni muhimu sana. Hii katiba tuliyo nayo, ni ya kiujangili kabisa.
   
 5. Mr Chabo

  Mr Chabo Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo habari nami niliisikia kipinde hicho nikiwa Dodoma. Kwa kweli vyombo vya habari avikuwa vingi hususani magazeti. Tupo pamoja katika kupigania katiba mpya. Tuondokane na huu ukungu tulionao
   
Loading...