Urafiki wa Mashaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urafiki wa Mashaka

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ochu, Oct 28, 2010.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ridhiwani atua Zenj kumpa tafu Masauni
  [​IMG]Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kulia) akilakiwa kwa furaha na Mwenyekiti wa zamani wa umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu alipowasili kumpa nguvu katika kampeni mjini Unguja
  [​IMG]Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kushoto) akiagana na Mwenyekiti wa zamani wa Umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu ya kwenda kumsalimia babake Masauni, Mh. Hamad Masauni Hamad (kulia).


  [​IMG]Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa zamani wa Umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu sh. 1,000,000 zilizotolewa na UVCCM kwa ajili ya kusaidia kampeni zake. Hafla hiyo
  ilifanyika nyumbani kwa babake Masauni, Unguja. Katikati ni Mkuu wa Usalama na Maadili wa UVCCM Tiafa, Sultani Mipiko.
  [​IMG]Mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM),ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu akimshukuru Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kushoto kwake) kwa kitendo chake cha kwenda jimboni kwake kumsaidia katika kampeni. Kushoto ni Mkuu wa Utawala wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Mjini Maghaibi, Augustino Mbogo. [​IMG]Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete (kulia) na Mwenyekiti wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu wakiungana na wanaCCM wenzao kuomba dua baada ya kumaliza mkutano wa kampeni za kumnadi mgombea huyo jimboni humo.
  [​IMG]Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ridhiwani Kikwete akizungumza na baadhi ya wanaCCM, baada ya kutoka kumnadi Mwenyekiti wa zamani wa Umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad Masauni Yusufu jimboni humo. Picha zote na Richard Mwaikenda

   
 2. M

  MAFRA Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh????? Mimi chichemi
   
Loading...