Urafiki wa Kikwete na Lowassa kama wa Kambona na Nyerere, kweli jamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urafiki wa Kikwete na Lowassa kama wa Kambona na Nyerere, kweli jamani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mzambia, Apr 20, 2011.

 1. m

  mzambia JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 882
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  NDUGU WANA JF JANA NILIKUWA NASOMA GAZETI LA TAZAMA TANZANIA NIKAKUTANA NA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU KWAMBA KILICHOTOKEA ni vitu vya KAWAIDA KWA LOWASA KWANI HATA MKAPA NA SWAIBA WAKE ULIMWENGU YALITOKEA KAMA HAYO NA BADO MAMBO YAKAENDELEA AU HATA WAKATI WA UTAWALA WA NYERERE MAMBO KAMA HAYO YALITOKEA KWA KAMBONA NA BADO MAMBO YAKAENDELEA. SASA SWALI JE LOWASA ATAKIMBIA NCHI KAMA ALIVYOFANYA KAMBONA WAKATI WA NYERERE?

  PILI KUMBUKA KAMBONA HAKUFISADI WALA HAKUWA NATUHUMA ZOZOTE ZA UFISADI KAMA ALIVYO LOWASA JE WANAJF HUU MLINGANISHO NI SAWA KWELI AU NDIO NJIA YA KUMSAFISHA ILI AONEKANE ANAPENDWA NA WANACHI KAMA ILIVYOKUWA KWA KAMBONA KIPINDI KILE MAANA UMAARUFU WA KAMBONA ULIKUWA MKUBWA MPAKA HATA BABA WA TAIFA ALIKUWA ANALITAMBUA HILO

  NAWASILISHA
   
 2. CHIMPANZEE

  CHIMPANZEE Member

  #2
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  JK na EL ni marafiki wa kuchanjiana hawawezi kutupana kabisa.
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nani mke kwa mwenziwe kati yao?

  maana nijuavyo mimi urafiki wa kuchanjia ni kati ya mume na mke.
   
 4. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,817
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwani urafiki wao una ukomo au makubaliano yoyote?
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,305
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  :a s 465:
   
 6. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #6
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,640
  Likes Received: 780
  Trophy Points: 280
  Nyerere hakuzidiwa akili na kambona.
  Mkapa na jenerali walitoshana akili.
  Kikwete na Lowassa?? (HAPA NINA MASHAKA)
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Apr 20, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 80,314
  Likes Received: 36,974
  Trophy Points: 280
  siyo kweli kwa sababu Nyerere na Kambona hawakuwa mafisadi kati yao na tofauti zao zilikuwa za kiitikadi kati ya ujamaa na uchumi mchanganyiko........lakini JK na Lowassa wote ni mafisadi na tofauti zao ni nani aendelee kuwa kinara wa ufisadi hapa nchini.......................there is a big difference between the two groups.................................
   
 8. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nyerere angekubali kufuata mawazo ya Kambona mpaka kipindi hiki tungekuwa tumesonga mbaya...
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,039
  Likes Received: 3,797
  Trophy Points: 280
  Kikwete hawezi kumtupa swahiba wake hata siku moja.
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,161
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  kama wengine walivyo sema tofauti ya JK, na Kambona ilikuwa ya kiitikadi, wakati tofauti za hawa wawili sio itikadi bali urafiki wa mashaka, wa nitoke vipi dhidi ya mwenzangu au ni mtumie vipi huyu jamaa.
   
 11. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  Sikubaliani na wewe kuwa Mkapa na Jenerali walitoshana akili, kwasababu uhasama kati ya hao wawili ulitokea baada ya matarajio ya Jenarali kutoka kwa utawala wa Mkapa kutotimilika!! Jenerali had very high expectations kuwa mara baada ya Mkapa kuingia magogoni nae pengine angeingia kama mshauri wa mambo fulanu hivi; sasa ilipotokea kuwa Jenerali hakupata nafasi kwenye Ikulu ya Mkapa hapo ndio uhasama ukaanza. Ili kujibu mapigo ambayo Jenerali aliyaanzisha ndio wenzie ikabidi wamkamate pabaya juu ya uraia wake; sioni kama analogy hii ya Jenarali na Mkapa unaweza kuifananisha na ile ya mwalimu na Kamabona.
   
 12. M

  Mti majungu Member

  #12
  Jul 12, 2015
  Joined: May 19, 2015
  Messages: 54
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 25
  hahahaha
   
 13. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2015
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,633
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  Haahaaa
  Kiko wapi sasa
   
 14. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2015
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 26,832
  Likes Received: 6,823
  Trophy Points: 280
  kitendo cha lowasa kutaka kumtoa jk katika uenyekiti wa chama,kilitia doa katika urafiki huo
   
Loading...