Upweke natafuta rafiki wa kike

Black Mann

Senior Member
Jun 30, 2020
125
250
Habari za jiniii,

nishakuwa na nyuzi kadhaa hapa nikitafuta mweza ila sasa wengi wanakuja hawapo serious! kwa ukweli nipo mpweke saana sipo katika mahusiano muda mrefu, nashinda officen nikitoka nyumbani, situmii kilevi chochote nadhani ratiba yangu inanifanya nisikutane na watu mapaka nakuwa naamini kupitia social network (nimesema haya sababu kuna watu wataniuliza mtaani siwaoni?)

Upweke umekuwa kama ugonjwa nahitaji sana Mwenza kama nimekosa basi naomba msichana yeyote aliye mpweke au asiye katika mahusiano(sitaki kuingilia mahusiano ya mtu) basi tuungane tupeane kampan! naishi Nje ya Jiji la Dar es salaam - wilaya ya kigambonii. miaka yangu ni 33 kwa mwenza au rafiki nayemtaka sichagui sana miaka ila ajitambe na kujiheshimu!!

Asanteni Jioni njema!!
 
ledada

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
14,506
2,000
Pole sana,jitahidi kujichanganya na watu itakusaidia zaidi ya hili.
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,303
2,000
Wakati unapotafuta uondokane na upweke kwa kujiingiza katika mahusiano, Utaishia kuwa mpweke maana huyo utakaempata atakuja tu ilimradi lakini hatakuondolea huo upweke.Ili upate amani nyanja zote inakubidi upweke ukuishe kabla hujaingiamo, Maana haya mambo ukicheza unaweza kuishi maisha yako yote ukiwa mpweke katika mahusiano kila la heri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa ushahuri, ila mimi pia na akili ya kuona kuelewa na kufahamu usahihi wa mtu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom