Upuuzi wenu akina Mo Dewji, CEO Barbara, Kocha Msaidizi Matola na Meneja Rweymamu ndiyo unatufanya wana Simba SC tuteseke, Kesho mtanitambua hapa JF

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Nitakuwa Mpumbavu na siyo Mwanamichezo kama nisipowapongeza Watani zangu Yanga SC kwa Ushindi wao wa Kipigo dhidi yetu Simba SC wa Goli 1 la Nguruwe linalouma sana.

Vile vile nadhani Mightier nitakuwa ni Mwendawazimu kabisa kama nisipowapongeza Wachezaji wa Yanga SC kuanzia Yanick Litombo Bangala, Dickson Job, Khalid Aucho na Feisal Salum ( alias ) Fei Toto kwa Vipaji vikubwa vya Kucheza mpira walivyonavyo na jana Kutupoteza mazima Simba SC na kuishia Kufungwa Goli Moko ( Moja ) la Nguruwe lenye Watoto Kibao.

Pia sitokuwa Muungwana nisipousifia Uongozi mzima wa Yanga SC pamoja na Mdhamini wao Mwandamizi Chapa GSM kwa kujua Kujipanga vyema Kimkakati na Kiufundi kila wakikutana na Sisi Simba SC na Mightier sioni haya ( aibu ) Kukiri kuwa Simba SC kwa Yanga SC ni sawa na Mbwa mbele ya Chatu kwamba ataishia tu Kujitutumua na Kujumwambafai lakini mwishoni lazima ataliwa kama Kumezwa nae kabisa.

Kwa Hasira Kubwa na Machungu niliyonayo kwa Kipigo cha Jana Kesho nakuja na Taarifa yangu ya Kiuchunguzi ( Kuelekea Mchezo huu wa Jana ) na kwa Watu niliowataja katika Headline yangu mtanisamehe na kama kuna mwana Simba SC mwenye Roho nyepesi namshauri tu asifungue huo Uzi wangu kwakuwa Mightier naenda kuweka hadharani Madudu yote ili Mechi zijazo za Derby tusije Kupotezeana muda kwa kututaka wana Simba SC tujae Uwanjani.

Mlizoea 24/7 Mightier nawasema, nawachokoza na nawasimanga tu Watani zangu ( zetu ) Yanga SC na mnafurahia kumbe huku nyuma mnafanya Maujinga na Maupumbavu yenu mwishowe tunafungwa na Yanga SC na kutufanya wengine tokea Jana hadi Leo tujifiche chini ya Chaga na Uvungu na kama tukitoka huko basi ni kwa ama kwenda Kukojoa ( Kupii ) au Kunya ( Kupuu ) tu na tunarejea huko kwani kila mara ni Kutaniwa, Kuchekwa na Kutukanwa tu.

Kesho mtanikoma Kudadadeki zenu na naomba hizi Hasira zangu nilale nazo hadi Kesho na zisinitoke ili nikiwa natiririka na kuserereka na Taarifa za ndani Kubwa na za Hatari nilizonazo na Upuuzi uliopo ndani ya Simba SC niwatandikeni vilivyo nyie Watajwa hapo juu katika Headline yangu bila Kumsahau na Mkuu wa Itifaki Tapeli Tapeli Makoye na Mvaa Mabomu ya Ulozi ( Ushirikina ) ndani ya Simba SC Ngande.

Popote ulipo Fiston Mayele Shikamoo!!!
 
Punguza izo hasira mkuu kuwa na subira.
Tuipe mda zaidi timu makosa machache yatarekebishwa tu.
 
Huyo makoye ni tapeli haswa, kijiwe chake ni Kwa Aziz Ally, ameuza ishu fala huyo
 
Sisi wana Simba kindakindaki tunasema hiviiii No Retreat No Surrender wewe wa wapi wewe???
 
Back
Top Bottom