Upungufu wa maji mijini ndio kelele zote hizi? Huu ndio ubinafsi wa hali ya juu

Nchi nyingi zinavuna maji ya mvua karibu katika kila tarafa kuna water reservoir inayokusanya maji ya mvua kutoka barabara za lami. Maji haya yanatumika kwanza na maji ya mito yanakuwa secondary supply. Huwezi kutegemea maji ya mito 100%
Uvunaji wamaji ya mvua shida ni elimu tuu.

Katika nchi ambazo Mungu ametupa upendeleo bas sisi.
Karibu kila mkoa wa Tanzania una pokea mvua karibu miezi minne mfululizzoo, Tena zile mvua haswa.

Lakin ukipita kwenye majumba humu hakuna Ata mtu mweenye mfumo wa Uvunaji wa maji hayo.. Tena wengine Wame funga na zile gata kwenye mapaa Lakin maji Yana mwagwa.

Ikiwa kila mtu mwenye uwezo ange amua kusev haya maji Masi hata natumiza ya maji ya mamlaka zetu yange kuwa chini Sana
 
Nchi nyingi zinavuna maji ya mvua karibu katika kila tarafa kuna water reservoir inayokusanya maji ya mvua kutoka barabara za lami. Maji haya yanatumika kwanza na maji ya mito yanakuwa secondary supply. Huwezi kutegemea maji ya mito 100%

Ndiyo maana nikasema kwa TZ hatuna shida ya maji wala umeme maana tuna sources za kumwaga kwenye umeme tuna gesi,coal,upepo,biogas etc kwenye maji ndiyo usiseme TZ ukichimba kisima sehemu nyingi tuna maji safi na salama ,ukija kwenye mito ,maziwa tuna ya kutosha!! Tatizo naloliona viongozi wetu hawana plan ya muda mrefu ya kuwakomboa wananchi wao! wanajiangalia wao ,kuna mdau alishawahi kusema Ukiona mbunge au kingozi anapamba kuhusu kujengwa kwa miradi/barabara/umeme/maji basi ujue huo mradi/projects inamnufaisha yeye unapita jirani na nyumba yake.
 
Shida yetu inaweza kuwa akili ya kuweka vipaumbele.

Thank you, thank you, hatimaye na sisi wa vijijini tumepata watu wa kutusemea. Mungu akubariki mkuu Yoda.
Sisi huku vijijini tunateseka sana na mahitaji ya maji, shule, barabara, zahanati nk, na hakuna anayetujali wala kutusikiliza. Kodi tunalipa wote, lakini maendeleo yote yanapelekwa mijini na majijini. Huo ni upendeleo na ubaguzi wa hali ya juu.
Ngoja na nyie watu wa mijini muonje machungu ya adha tunazoziishi kila siku huku vijijini, ili tunaposema kuwa tupatiwe hizo huduma labda mtatuelewa.

Acha tu maji na umeme ,serikali ndiyo imemonopoly soko lakini wababaishaji sana,tungekuwa na viongozi wenye maono,kubitia bills za maji na umeme tungejiendesha vizuri,viongozi wangehakikisha watu wanapata maji na umeme kwa 100% iwe mjini au vijijini na inawezekana maana pesa yake ni ndogo tu ,tusingesimama kununua ndege kwanza tujikite kwenye kusambaza miundombinu ya maji na umeme nchi nzima.

Ndege sio priority maana ndege binafsi zipo.
Swali fikirishi adui namba moja wa Tanzania ninani?
 
Acha tu maji na umeme, serikali ndiyo imemonopoly soko lakini wababaishaji sana,tungekuwa na viongozi wenye maono,kubitia bills za maji na umeme tungejiendesha vizuri, viongozi wangehakikisha watu wanapata maji na umeme kwa 100% iwe mjini au vijijini na inawezekana maana pesa yake ni ndogo tu, tusingesimama kununua ndege kwanza tujikite kwenye kusambaza miundombinu ya maji na umeme nchi nzima.

Ndege sio priority maana ndege binafsi zipo.
Waliona kujenga kiwanja Cha ndege Cha kimataifa Kule Kijijini ndio kipaumbele chao.
 
Adui namba moja ni Bunge...Kivipi?

-Aliisimamii serikali ipasavyo
-Wanatunga sheria mbovu za kuifavor serikali
-Hawawakilishi matatizo ya wananchi na kuibana serikali watekeleze.
Bunge kibogoyo haliwezi Hata kujua matokeo hasi ama chanya ya Sera wanazozipitisha,'they are, there, like figureheads "
 
Mjini hakuna visima, mjini bila maji hata chooni huendi…. vijijini unakata gogo porini au choo cha kulenga kisha unapangusa kwa majani au kuburuta kwenye mchanga.
 
Kwa kuwa unajua kufurahia uovu ma uonevu wanaOfanyiwa wenye kutofautiana mawazo na nyie wanakijani, ni haki yenu wewe na wanavijiji wenye mawazo ma mitazamo kama yako, Hadi pale utakapo baini umuhimu wa uwepo was mawazo mbadala zaidi ya Yale ya wanakijani walioshindww kuwa saidieni miaka yote hiyo.
Mbona huku vijijini tupo wote pamoja na hata wafuasi wa mr #dishlimetilt? Au wewe unadhani maumivu wanapata wanaccm peke yake?
 
Kwania mapambio mnaimba wakati wa raha pekee imbeni na wakati wa shida pia, simnasema mmeipenda wenyewe.
Mbele kwa mbele,hahaa umenikumbusha mbali sana unawambia watu wataondoka wenyewe mjini,wewe ndiyo unaondoka na unasindikizwa kijijini
 
Back
Top Bottom