UPT inaweza kusoma mimba ya siku 10?

Jocasta

JF-Expert Member
Aug 28, 2014
474
588
Analalamika kuwa matiti yanamuuza, nauliza kama upt inaweza kudetect mimba ya siku 10
 
Subiri siku 14 mkuu ndio accurate hata hivo matiti kuuma ni kiashiria cha dalili nyingi wengine wakitaka kubleed maziwa hua yanauma na kujaa hata mimba pia au labda ana case tofauti na hiyo
 
Siku 14 BAADA ya nini madame
 
Tangu mwezi wa 12mwaka Jana tunatafuta mtoto lakini Bado, mkuu
kama mnafanya kwa ajili ya kutafta mtoto acheni mtoto ni majaaliwa fanyeni kama starehe na kabla ya kutafta mtoto pia yapasa mjue mzunguko wake na wewe kama mume uko vizur mbegu zako na nyote wawili hamna dosari kwenye via vyenu vya uzazi
 
Mzunguko wake huwa unabadilika basilica, madame, mambo mwezi wa 12 aliingia try 4 then 9 then 12 wa tatu kaingia tarehe moja, inakuwa vigumu kuelewa nisaidie pls
 
Hapo kabla alikua anapata mzunguko hivi??
Mzunguko wake huwa unabadilika basilica, madame, mambo mwezi wa 12 aliingia try 4 then 9 then 12 wa tatu kaingia tarehe moja, inakuwa vigumu kuelewa nisaidie pls
 
Hivo alivobadili mazingira bas afate huo mzunguko wa zamani halaf asiwe na msongo wa mawazo awe kawaida ale vizur apumzike vya kutosha
Alikuwa akienda Kila tarehe moja, au mbili, baada ya kumuoa nikamleta huku ninapokaa ndo mzunguko wake ukabadirika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom