Upotoshaji wa vyombo vya habari

amanij

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
353
198


Angalia hiyo video na sikiliza kwa makini na angalia maneno anayo sema kiongozi na maneno ya mtangazaji.

Maalim seif anasema ameshinda kwa kupata kura Laki mbili na sabiini na saba hii ni sawa na 20000 +77 =200077

lakini mtangazaji anatoa mahesabu ya aina yake a naandika 277000.
277000 unasema ni laki mbili na Sabiini na saba elf au
miambili na sabiini na saba elf sio Laki mbili na sabiini na saba.
 
Back
Top Bottom