Hoja ya kipuuzi. Hayo mambo yalikuwa zamani.Gts,
Inasikitisha sana tena sana jamii inapoendelea kupotosha kauli ya Rais juu daktari aliyegeuka mkataba.
Wizara ya afya toeni ufafanuzi.
Inavyofahamika, ukiwa kazini halafu ukasomeshwa na Serikali huwa kuna mkataba wa kufanya kazi Serikalini kwa muda maalumu baada ya hapo mhusika huwa huru.
Hivyo tamko la Rais lipo sahihi.
Kwa sasa hakuna mwanachuo anayesomeshwa na Serikali. Hakuna hata mmoja. Serikali inawakopesha wanavyuo wanaoomba mkopo wa masomo.
Hivi ukichukua mkopo bank, ukajenga nyumba, na baada ya kumaliza kujenga, unaendelea na ulipaji wa deni, hiyo nyumba inakuwa yako au inakuwa mali ya bank?
Sijui kwa nini, kila mara watetezi wa Serikali na Rais, wanakuwa ni watu wale wajinga wajinga, wanaoshindwa kufanya reasoning.
Sent using Jamii Forums mobile app