Upotoshaji: Magufuli alidai kuyamaliza kabisa maovu yote Tanzania

Kikwete katusababishia hasara kubwa sana.

Kwenye awamu yake tumepoteza fedha nyingi kupitia Epa, Richmond, Madini , hakika Taifa liliingia hasara kipindi chake.

Hilo halina mjadala. Hakuwa makini vya kutosha kuhakikisha Taifa letu linapata haki yake kupitia Rasilimali zake. Hapo hakwepi.
Kikwete analinda biashara zake pamoja na washirika wake
 
Ile hasara aliyoisema C.A.G Assad ya 1.5 trilioni inazungukia hizo unazosema mara nne, JPM alisababisha kwa mwaka mmoja, Sasa piga miaka sita, trilioni kumi
1.5 Trillion ilishatolewa maelezo na uthibitisho tangu kipindi kile.

Kama haukubaliani nayo hebu tupe wewe maelezo na uthibitisho wako.

Zilienda wapi?
 
1.5 Trillion ilishatolewa maelezo na uthibitisho tangu kipindi kile.

Kama haukubaliani nayo hebu tupe wewe maelezo na uthibitisho wako.

Zilienda wapi?
Haijatolewa, mpaka Leo kimya, majitu yamekaa Chato matumbo yamejaa, yamevimbewa kwa ulafi
 
JPM most likely alifariki kwa natural causes. Ukiangalia clips mbalimbali za wakati wa campaign za 2015 na 2020 ni tofauti sana sana. Mwaka 2015 alikuwa na afya njema ana nguvu mpaka push up anapiga jukwaani na alipiga campaign almost nchi nzima. Lakini za 2020 alikuwa mchovu, kila alipoenda alikuwa anawekewa sijui ni AC au feni karibu yake kwenye jukwaa, baadhi ya sehemu nchini hakwenda, hakupiga push up hata moja. In general alikuwa weak
Sasa wanasema ameuawa,ndii nimeuliza hapo na yeye ameuawa na wasiojulikana?
 
Back
Top Bottom