Upotofu juu ya matumizi ya ARV na HIV/ AIDS

Take it from me,
ARV ni muhimu SI kwa afya ya muathirika tu but pia kwa mwenzi wako na huzuia maambukizi mapya. Kama ukitumia ARV kwa ufasaha there is 80% that you can have sexual intercourse with your partner without affecting her/his health.

Hii hutokea pale umetumia pills vzr to the point of no viral load in your bloodstream
Hili limesikika kwa wadau wengi ambao wameprove kuwa na mahusiano na wenza wao ambao ni waadhirika na kubaki salama...
 
ARV hufubaza makali ya virusi vya ukimwi na mtu anaweza kuishi hadi miaka 35 toka agundulike na kuanza dozi,sasa naposhindwa kuelewa ni vp tena mtu huyo kufa kwa ugonjwa wa ukimwi hali ya kuwa hivyo virusi amekuwa akivifubaza?
 
Apo Mimi pia nakosa majibu

Sent by iOS
 
prochcare,
Huwa sielewi kwani VVU vikiingia katika familia huwa vinakwenda na mtu zaidi ya 1, yaani kama ni baba/mama na mtoto/ watoto nao wataambukizwa hata kama ni watu wazima nimeona katika baadhi ya watu ni ugonjwa ambao kwakweli wazungu walituweza
 
Hakuna kitu kinaniuma kama binadam mwenzako kukupa ugonjwa ili akuuzie dawa,. Akudhoofishe kiuchumi ili akukope kwa riba kubwa. Akufanyie majaribio ya silaha. Alaf unamshukuru na kumpa majina mazuri.
 
Shangwe na wewe...

Kuna dawa za kumkinga mtoto asiambukizwe akiwa tumboni na anapotoka...ila kuponya ugonjwa ndio dawa hakuna...!
Biashara ya damu!
Hivi Wandugu zangu ni kweli hawa jamaa wamekosa dawa kweli? au wekausha tu waendelee kupiga hela? basi ata ajitokeze snitch mmoja kati yao afanye kweli kuikomboa dunia aiachie dunia historia ya kipekee hawa jamaa wana tesa sana ulimwengu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kusex ni maisha yake binafsi ..jambo la msing kila mtu achukue tahadhari ..kutumia kinga ama kupima kabla ya kuanza kwichi kwichi...

naamini naye ni binadamu na atakuwa na mahusiano..so tuwe macho na wakweli tukijua hali zetu
Apo kwenye kupima kabla ya kwich kwich ndo pabaya zaidi kabda kama mtapima mara mbili au tatu within 90 days ila iyo ya kupima saivi na kupiga show mda uo uo ilo nalo ni shimo kubwa sana linalomeza wadau
 
Dawa yoyote ina sumu kiasi kidogo ambayo huathiri taratibu haswa inapotumika kwa muda mrefu ,lazima ilete effect kwenye essential organs mfano moyo ini,figo ,mapafu n.k so I think mtu akitumia kwa muda mrefu atakuwa affected na hiyo sumu

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa imagine mtu anameza kila siku
 
Shangwe na wewe...

Kuna dawa za kumkinga mtoto asiambukizwe akiwa tumboni na anapotoka...ila kuponya ugonjwa ndio dawa hakuna...!
Biashara ya damu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi siamini kama wameshindwa kucheza na hawa virus mboma virus vingine vimewezwa why HIV ishindikane na teknolojia hii inakimbia kwa kasi ivi? kuna kitu apa mkuu mzungu sio mtu mzuri
 
Suala la kusema ARV inazuia maambukizi mapya ni kamba tu kama ile ya tohara na maambukizi ya UKIMWI.
 
prochcare,
Huwa sielewi kwani VVU vikiingia katika familia huwa vinakwenda na mtu zaidi ya 1, yaani kama ni baba/mama na mtoto/ watoto nao wataambukizwa hata kama ni watu wazima nimeona katika baadhi ya watu ni ugonjwa ambao kwakweli wazungu walituweza
hili gonjwa sikia kwa wengine tu..likikufika kwenye familia yako ndo unaelewa linaumiza kiasi gani...

Halafu unakuta upo na bae wako ambaye bado hamjui hali zenu then she/he complain why using protections..any many questions like does it me u dont trust me....huo undezi sitaki kuusikia kabisa kaburi kila mtu anaenda peke yake..so mimi huwa namchekii halafu nakula jiwe tu.
 
Hakuna kitu kinaniuma kama binadam mwenzako kukupa ugonjwa ili akuuzie dawa,. Akudhoofishe kiuchumi ili akukope kwa riba kubwa. Akufanyie majaribio ya silaha. Alaf unamshukuru na kumpa majina mazuri.
ila wakweli wapo..kuna mmoja nilikutana naye before anything she opened up to me that she is HIV positive..mpaka leo ni mshikaji wangu wa faida kabisa.
 
Dadaangu alifariki mwaka 2002. Mwaka 2003 mama angu aliyekua anamtunza naye akagundulika alipata maambukizi akaanza kutumia dawa toka 2003 mpk Leo anazidi kua kijana..

Sent by iOS
pole sana ndugu..inaumiza lakin ndo maisha tena...R.I.P sister na bi mkubwa
 
Back
Top Bottom