Upotevu wa zaidi ya Sh. Trilioni 1.5: Ni aibu nchi nzima kumuachia Zitto pekee ahoji jambo hili!

Hilo la TRA kudanganya mapato nalo hawalioni au nalo ni uongo?

Kulipa madeni ya mabilioni nje ya Bajeti nalo ni uongo?
Nina kwambia Zitto ni Muongo hakuna kitu kama.hicho ndio.maana chadema wamekaa kimya..
 
Salary slip siku hizi hauna hoja za mashiko kama zamani. Umekuwa na arguments cheap mno siku hizi. Nimekuona tangu juzi uliposema kwa kuwa mawaziri wanatoa ufafanuzi wa ripoti ya CAG basi chadema nao wafanye haraka. Punguza mihemko, mambo huenda kwa wakati na nyakati. Unajua wana mipango gani wewe? Halafu kumbuka top notch ya wabunge na viongozi wachama wote wako busy mahakamani. Ulipaswa kuwa unafikiria kwanza kuliko kujenga hoja nyepesi kwa kufuata upepo tu. Chadema ni taasisi kubwa tu. Watachambua na watawasilisha muda ukifika.
 
Wasalaam wana jamvi.
Kwanza nitoe pongeza sana kwa taarifa ya CAG na pia nitoe pongeza kwa mawaziri na wote walio chukua jukumu kujibu hoja na kueleza mambo yaliyo ibuliwa na ofisi ya CAG.
Pia nitoe pongezi kwa Zitto kwa kujadili na kuchambua taarifa ya CAG na wengine wote wanao endelea kujadili na kuchambua taarifa ya CAG.

Wana jamvi katika kipindi kama hiki miaka iliyopita na mategemeo ya wengi ni kuwa Chadema ikiongozwa na wabunge wao wote na viongozi wao wote wange ungana na Zitto kuzungumzia swala la zitto analodai kuwa trillion 1 zimeliwa. Lakini tangu Zitto na ACT waongee kuhusu hili swala la 1trillion ni wazi chadema wameonesha wazi kuwa hawana imani na zitto maana kipindi kama hiki watu kama kina John Mnyika,Halima mdee,Heche ,Lema na wengine walitegemewa kuwa wangekuwa mstari wa mbele kuandika ,kuchapisha na kushikia bango swala la 1trillioni.

Bado najiuliza hivi ni kwanini Zitto amekosa support ya wenzie kama kwenye mambo mengine kama ya makinikia na bombadia?Yani hata Tundu Lissu ameshindwa kuandika waraka kumsupport Zitto? Nini shida kwenye anacho dai Zitto?

Kwa maoni yangu ni wazi kabisa Chadema na wabunge wao wamegundua Zitto hatofanikiwa kwa anachodai kwakuwa kina ufafanuzi kabisa na ukiziungatia CAG hakufanya ukaguzi kwenye manunuzi ya ndege na mambo mengi yaliyo fanywa nje ya budget.

Pia ni wazi Chadema wamejaribu kuvuta picha kipindi zitto ni mwenyekiti wa PAC na kilichotokea NSSF na mashirika mengine aliyokuwa ana wajibika kuyapitia akiwa mwenyekiti baada ya yeye kumaliza muda wake na kilicho gundulika kwenye mashirika hayo.

Pia inawezekana kabisa Chadema hawajasahau usaliti wa Zitto anapo pata pakushika hivyo wanajua hata waki muunga mkono ni wazi kuna siku ata wageuka kabisa na kujificha kama kawaida yake.

Pia Chadema wanajua kabisa Zitto ana tafuta umaarufu binafsi sio kwamba ana uchungu na hizo hela anazo dai hazipo hivyo wamemuacha waone atafikia wapi kwani wanajua kuwa ana kazi kubwa ya kutetea ubunge wake......

Wasalaam.
Ko unataka kuwaminisha watu kua ukimya wa Chadema ndo kua hazijaliwa hizo hela. Najua unataka tu kugeuza gia angani. Acha siasa za kikale watu tulishaelewa unachokiwaza kua wewe ni mtetea ufisadi.
Mtuache tujadili hata kama hamtachukua hatua hata vizazi vinavyokuja vitajua kua kulikua na kiongozi fisadi ambaya kwa mwaka mmoja aliiba 1.5T
 
Salary slip siku hizi hauna hoja za mashiko kama zamani. Umekuwa na arguments cheap mno siku hizi. Nimekuona tangu juzi uliposema kwa kuwa mawaziri wanatoa ufafanuzi wa ripoti ya CAG basi chadema nao wafanye haraka. Punguza mihemko, mambo huenda kwa wakati na nyakati. Unajua wana mipango gani wewe? Halafu kumbuka top notch ya wabunge na viongozi wachama wote wako busy mahakamani. Ulipaswa kuwa unafikiria kwanza kuliko kujenga hoja nyepesi kwa kufuata upepo tu. Chadema ni taasisi kubwa tu. Watachambua na watawasilisha muda ukifika.
CCM kutokosoana kwa mambo ya msingi ndio kumewafikisha hapa walipo leo hii.

C
 
Wasalaam wana jamvi.
Kwanza nitoe pongeza sana kwa taarifa ya CAG na pia nitoe pongeza kwa mawaziri na wote walio chukua jukumu kujibu hoja na kueleza mambo yaliyo ibuliwa na ofisi ya CAG.
Pia nitoe pongezi kwa Zitto kwa kujadili na kuchambua taarifa ya CAG na wengine wote wanao endelea kujadili na kuchambua taarifa ya CAG.

Wana jamvi katika kipindi kama hiki miaka iliyopita na mategemeo ya wengi ni kuwa Chadema ikiongozwa na wabunge wao wote na viongozi wao wote wange ungana na Zitto kuzungumzia swala la zitto analodai kuwa trillion 1 zimeliwa. Lakini tangu Zitto na ACT waongee kuhusu hili swala la 1trillion ni wazi chadema wameonesha wazi kuwa hawana imani na zitto maana kipindi kama hiki watu kama kina John Mnyika,Halima mdee,Heche ,Lema na wengine walitegemewa kuwa wangekuwa mstari wa mbele kuandika ,kuchapisha na kushikia bango swala la 1trillioni.

Bado najiuliza hivi ni kwanini Zitto amekosa support ya wenzie kama kwenye mambo mengine kama ya makinikia na bombadia?Yani hata Tundu Lissu ameshindwa kuandika waraka kumsupport Zitto? Nini shida kwenye anacho dai Zitto?

Kwa maoni yangu ni wazi kabisa Chadema na wabunge wao wamegundua Zitto hatofanikiwa kwa anachodai kwakuwa kina ufafanuzi kabisa na ukiziungatia CAG hakufanya ukaguzi kwenye manunuzi ya ndege na mambo mengi yaliyo fanywa nje ya budget.

Pia ni wazi Chadema wamejaribu kuvuta picha kipindi zitto ni mwenyekiti wa PAC na kilichotokea NSSF na mashirika mengine aliyokuwa ana wajibika kuyapitia akiwa mwenyekiti baada ya yeye kumaliza muda wake na kilicho gundulika kwenye mashirika hayo.

Pia inawezekana kabisa Chadema hawajasahau usaliti wa Zitto anapo pata pakushika hivyo wanajua hata waki muunga mkono ni wazi kuna siku ata wageuka kabisa na kujificha kama kawaida yake.

Pia Chadema wanajua kabisa Zitto ana tafuta umaarufu binafsi sio kwamba ana uchungu na hizo hela anazo dai hazipo hivyo wamemuacha waone atafikia wapi kwani wanajua kuwa ana kazi kubwa ya kutetea ubunge wake......

Wasalaam.
Kukosa kwake support hakuondoi logic kuwa pesa hiyo imeibwa na ma CCM
 
Chadema hawajaingia madarakani lakini tayari wamepiga billion 7 za walipa Kodi.

Tumwamini Nani Sasa ??
 
Taarifa ya CAG,kwa mujibu wa Zitto, inaonyesha kuna kiasi cha shilingi bilioni 1.5 ambazo hazionekani katika matumizi licha ya kuwa zilikusanywa na TRA.Yaani zilikusanywa lakini hazionekani zipo wapi na zimetumika kufanyanya nini.

Hizi ni fedha nyingi sana ambazo zingeweza kuajiri serikalini vijana wanaomali vyuo, zingeweza kutumika kuongeza mishahara ya wafanyakazi,zingeweza kutumika kulipa madeni ya watumishi wa umma na wazabuni mbalimbali,n.k

Pia,fedha hizo zingeweza kutumika kukopesha wanafunzi wa vyuo vikuu bila hata kuongeza makato ya Bodi ya mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15 makato ambayo ni mateso makubwa kwa wananchi wa kawaida.

Si hivyo tu,fedha hizi zingeweza kutumika kununulia madawa, kugharamia miradi ya maendeleo, kutatua matatizo ya maji,n.k.

Kwa kifupi fedha hizi ni nyingi sana ambazo zingewza kutumika kuhudumia watanzania hivyo nyinyi kama wapinzani tena CHADEMA mkiwa kama chama kikuu cha upinzani kukaa kimya kwakweli si tu inashangaza,bali haingii akilini kabisa.

Tunajua CHADEMA na nyinyi mna ya kujibu kuhusu jinsi mlivyotumia fedha za ruzuku kwa mujibu wa ripoti ya CAG lakini hiyo haimanisha mkae kimya kiasi hiko.

Kumbukeni CCM wamewashambulia sana Bungeni baada ya ripoti ya CAG kuonyesha kuwa kuna fedha mmezitumia vivyo sivyo bila kujali kuwa hata wao(CCM) nao ripoti hiyo hiyo ya CAG imewatuhumu kutumia vibaya fedha za ruzuku karibu shilingi bilioni 12.

Sasa kama wao wamewashambulia bila kujali na wao ni watuhumiwa, inakuwaje nyie mkae kimya wakati serikali ya chama chao ina ukakasi wa kutumia vibaya matriloni ya fedha za walipa kodi wa nchi hii?

Niwaambieni ukweli,ukimya wenu huu ni wa kujimaliza kisiasa na kesho na keshokutwa mkianza kulalamikia demokrasi na kulilia uhuru wa maoni wananchi watawashangaa mnalilia uhuru gani wa maoni kama mmeshindwa kuhoji ni wapi trilioni 1.5 za walipa kodi wa nchi zilipo ili hali vyama vyenu ndio vyama vikubwa vya upinzani hapa nchini.

Mnamuachia hata Kafulila anapotosha bila kumjibu!!Mnachemka sana!
Umeingizwa mkenge na Zitto wewe hakuna hata sehemu moja kwenye ripoti ya CAG amesema kuna upotevu wa 1.5 trillion ni propaganda za kisiasa tu na amewapata wajinga kama wewe!
 
Tafsiri ya kitu kisichoonekana ni nini kama hakijapotea?
 
Mkuu salary slip tusiwe wepesi kulaumu tu tuwe considerate... Kamati kuu 80% wana kesi mahakamani hadi kufikia leo!! Aliyeongoza mapambano ya kukosoa mambo ya serikali tundu lissu leo kalazwa karibu mwaka sasa.... Saanane alikuwa ana hoja hata bila matusi ila leo hii katoweka.... Wengine kina sugu,lema na lijualikali walitupwa gerezani kwa miezi kibao kisa maneno yasiyozidi kumi tu

Hivyo tuwalaumu kma hawatoongelea bungeni maana kule wanakinga angalau ila kuwalaumu kwanni hawaongelei hku nje ni kuwaonea tu maana unajua kitakachofuata ni SMG au gerezani kma sugu na watanzania wenyewe ndio hawa waoga hawatosaidia chochote ndio maama viongozi kma wanadamu lazima wajawe na hofu

Ni heri utumie muda huu kushauri viongozi majasiri ndio wapewe uongozi au wawe mdomo wa chama ila mtu kma mnyika au mbowe wakikumbuka SMG za lisu lazima waogope

Zama zimebadilika ni heri tu tuvunje vyama turudi chama kimoja maana kwa hali ilivyo sahvi usishangae kusikia zitto kabwe kaokotwa coco beach!!!
 
Tafsiri ya kitu kisichoonekana ni nini kama hakijapotea?
Kwanza ujue ripoti hiyo haikucover mashirika yote ya serikali kuna mashirika kama ATCL haikukaguliwa then how can you come to conclusion kuwa pesa hizo zimepotea au kuibiwa?? Labda kama akili haifanyikazi vizuri...
 
Nchi hii ina watu wengi wasomi na wenye umaarufu na ushawishi katika jamii lakini wamekaa kimya kabisa kuhusu huu upotevu wa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 uliowekwa hadharani na mbunge Zitto kabwe kwa kushirikiana na chama chake cha ACT Wazalendo baada ya kuichambua ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Baada ya Zitto na chama chake kuanika madudu haya yaliyomo katika ripoti ya CAG, nilitarajia kuona wasomi,wanasiasa na wanaharakati wakiungana na Zitto kutaka serikali itoe maelezo na kulitaka Bunge lihoji ni wapi fedha hizi zimekwenda lakini naona muitikio ni mdogo kulinganisha na kiwango cha fedha kilichopotea.

Nina hakika jambo hili lingekuwa limetokea katika nchi za wenzetu saa hizi Bunge lingekuwa limewaka moto na raia mitaani wangekuwa wameshajimwaga kutaka uwajibikaji lakini Bongo hii hali nI tofauti kabisa.

Na kwa unafiki wetu,jambo hili lingekuwa limeibuliwa na Mkulu,basi kwenye media zote saa hizi ndio ungekuwa mjadala na hata Bunge lingekuja juu na kupongeza lakini maadamu ni mpinzani watu wanapiga kimya kama vile hawajui nini kinaendelea na ndio maana husiki cha wanaharakati wala wasomi wakijitokeza ama kuhoji au kumpongeza Zitto.

Wabongo sijui kama tunawaza sawa sawa!!

Wakati BBC Swahili wakimuhoji Zitto kuhusu jambo hili,hapa kwetu baadhi ya vyombo vya habari kwao jambo hili si issue sana na ndio maana wamelipa uzito mdogo.

Soma : Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa...
Usishangae ACT kikawa chama kikubwa cha upinzani Tanzania 2020. Hii ni hoja nzito iliyowatingisha mawaziri na CCM pia. Haiwezeki iwe inaongelewa na Zitto peke yake yake. Huku ni sana na kumuweka rehani mtoto wa watu kwaajili ya taifa zima.
 
Nchi hii ina watu wengi wasomi na wenye umaarufu na ushawishi katika jamii lakini wamekaa kimya kabisa kuhusu huu upotevu wa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 uliowekwa hadharani na mbunge Zitto kabwe kwa kushirikiana na chama chake cha ACT Wazalendo baada ya kuichambua ripoti ya CAG ya mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Baada ya Zitto na chama chake kuanika madudu haya yaliyomo katika ripoti ya CAG, nilitarajia kuona wasomi,wanasiasa na wanaharakati wakiungana na Zitto kutaka serikali itoe maelezo na kulitaka Bunge lihoji ni wapi fedha hizi zimekwenda lakini naona muitikio ni mdogo kulinganisha na kiwango cha fedha kilichopotea.

Nina hakika jambo hili lingekuwa limetokea katika nchi za wenzetu saa hizi Bunge lingekuwa limewaka moto na raia mitaani wangekuwa wameshajimwaga kzutaka uwajibikaji lakini Bongo hii hali nI tofauti kabisa.

Na kwa unafiki wetu,jambo hili lingekuwa limeibuliwa na Mkulu,basi kwenye media zote saa hizi ndio ungekuwa mjadala na hata Bunge lingekuja juu na kupongeza lakini maadamu ni mpinzani watu wanapiga kimya kama vile hawajui nini kinaendelea na ndio maana husiki cha wanaharakati wala wasomi wakijitokeza ama kuhoji au kumpongeza Zitto.

Wabongo sijui kama tunawaza sawa sawa!!

Wakati BBC Swahili wakimuhoji Zitto kuhusu jambo hili,hapa kwetu baadhi ya vyombo vya habari kwao jambo hili si issue sana na ndio maana wamelipa uzito mdogo.

Soma : Serikali imepoteza TZS 1.5 trilioni mwaka 2016/17. Imetumia Mabilioni kinyume na Utaratibu, Imelipa Madeni Hewa...
Tuache tabia ya kurukia kila habari hii ni fake newS hapo kosovo sio member wa un pia kura zapigwa na GA sio SC
 
Back
Top Bottom