Upotevu fedha ATC, NIDA, TRA,

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,275
1,788
Leo usiku kwenye taarifa ya habari limeibuka lingine la ubadhirifu wa fedha takribani 700m katika shirika la ndege la ATC.

Najiuliza ATC , TRA, NIDA na mashirika mengine ya umma yaliotangulia kuibukiwa uchafu wake hivi kwanini serikali isiunde mahakama maalum ya kuhujumu uchumi ambayo itakuwa inashughulika specifically na case za namna hii kuspeed up mambo na adhabu iwe ni kifungo na kufilisiwa kuliko kuishia kuwasimamisha na mwisho kuwafuta kazi tu.
 
Cha kushangaza ni pale Finance Manager pekee yake ndiye amesimamishwa kazi kwa upotezu wa hizo Tshs. 700m huko ATCL. Ina maana muda wote wa upotevu huo Mkurugenzi Mkuu na hata idara ya Internal Audit hawakuwa na habari? Au lilikuwa ni deal la pamoja?
 
Back
Top Bottom