Uporaji wa ardhi Tanzania

kmdh

JF-Expert Member
May 19, 2010
503
120
Huu uporaji wa ardhi (land grab) utaleta matatizo mengi baadaye. Wageni wanakuja, wanahonga serikalini, wanawadanganya wanakijiji halafu wanapora ardhi. Nchi inauzwa eka baada ya eka bila ya faida yoyote kwa wananchi.

 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom