Upon reading these notes, you will conclude that Kibatala is a novice lawyer

Wewe ni Bush Baby sory Bush lawyer. Tunaweza kukujibu kwa lugha unayonukuu lakini acha tukujibu kwa lugha ya taifa. Usidanganye watu kwa vijineno vya rejareja kwamba lies zinatakiwa kuwa established wakati wa final submission, lies zinatakiwa kuwa established kwenye cross examination na kuhitimishwa kwa msisitizo wakati wa final submission. Kasome tena desa ulilopewa.
ni sawa unavyosema- mie ninachosema hapa shahidi hapaswi kuitwa MUUNGO bali uongo wake unatakiwa uonyeshwe mbele ya mahakama
 
Ndiyo Objections kwa state Atorneys toka kwa utetezi ziko nyingi Sana. Huyu mleta Mada ni state atorney, kwa mantiki hiyo na yeye ni kilaza kama anaowaita vilaza
Usinilishe maneno sijasema KILAZA nimesema novice- MCHANGA
 
Back
Top Bottom