Upole wa Mnyika ndo sababu ya Ubungo kumshinda?

Mbunge wa dsm unapaswa ndani miezi mitatu uwe na serious ziara jimboni na hii inakuwezesha kuwa na wananchi wako mara nne kwa mwaka, hii ni routine lakini kwenye dharura unashughulika pia ku advance na maeneo mengine ili wasijeingia matattizoni kama wenzao......, tembea makuburi-kibangu kijiji kwa kijiji na mtaaa kwa mtaa acheni kuongezeka uzito kwenye sofa na uheshimiwa....., wanaokulaumu ndani yake wanakupenda, maana wasingelikulaumu" adui mwombee njaa"
 
Back
Top Bottom