Upo uzalendo na upo uzalendo wa kijinga kutetea nchi kwenye ujinga ni uzalendo ....mm

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Upo uzalendo na upo uzalendo wa kijinga; kutetea nchi kwenye ujinga ni uzalendo wa kijingA-MZEE MWANAKIJIJI
hii kauli ya mm ukweli ndani yake lakini ili kupata solution na ili uweze kuuondoa huu ujinga hii inaweza is apply...wakuu au nakosea??
 
sundancesolar_2086_8686036
trans_1x1.gif
Emancipate yourself from mental slavery, None but ourselves can free our minds - Bob Marley
 
Tokeni kati yake mkatengwe nae enyi watu wangu. Maneno hayo ni ya bwana Yesu yakihamasisha watu wa haki wajiepushe kwa kujitenga na mfumo wa kidhalimu(shetani) maana isipokuwa wamejitenga hawawezi kutofautisha kati ya ovu na jema. Sasa uzalendo upo na wa kijinga pia upo. Huu wa kijinga unasababishwa na mafungamano ya mtu aliyonayo baada ya kuwa ndani ya mfumo(system) kulikosababishia kupoteza upambanuzi. Tujiulize ktk ku-aply je twataka kuwa ndani ya mfumo? Au kama ni nje ya mfumo tutaepukaje kujenga mfumo nje ya mfuko kwa namna ile ile ya mfumo tunaoupinga? LIKIWEZEKANA HILO BASI KUTAKUWA NA UZALENDO USIO WA KIJINGA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom