Upo golini ! Michenga ya nini ? Pasi hutoi , si utie kambani ?

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,776
Unamkuta Mshkaji Demu keshamsamamba kisenzi .
Demu keshamcosti kwanja ndefu .
Mishoping ya kutosha , miblackibery , milaptop , mivocha na midude mengine .

Hata hivyo ktk "muktadhashangazo"
Bingwa hajaona ndani !
Manzi anaruka viunzi ka'Usain Bolt !

Majuzi kati Demu kabugi step , na kajikuta katia maguu getoni kwa Mshkaji .

Wako geto na Bingwa wawili tu! Sie Maswahiba zake Mshkaji tulipoliona hilo , ligolden chanse tukawa tumefarijika nafsi zetu , tukijua Mzee-Mzima leo saa zote kwake zimekua kamili .
Hatuna punje ya shaka atafidia maumivu yoote aloyapata kumhusu Shori yule .

Yaliojiri geto , Mshkaji badala afanye kweli , akaanza story , mara amdaunilodie scripts , mara umejiunga whatsapp? Face book je? Mara kamuwekea Cd ya Kilimo cha miwa Brazil .
Mapazia yalikua yameshushwa , ye ndo akayafunua .

Demu ndo kuona uzushi , Bingwa hasomeki !
Demu :
"Baby mi nasepa"
Bingwa wetu :
"Poa tu, sasa utakua na nafasi lini ?"
Demu :
"siku yeyote"

Kesho yake mi nakutana na huyu Demu , ananiuliza hivi "yule jamaa yako mzima?"
Namuuliza
"kwani vipi ?"
ndo kunishushia shuzi hili .
 
Mh!!...sasa wewe ukamwambiaje huyo Demu baada kukushushia hilo shuzi?
 
Naomba nikuulize Judgement, kwani Demu alitakaje?

Kwa muktadha wa swali aliloniuliza Demu husika "hivi yule jamaa yako mzima?"
Hapa si majibu yako wazi YNNAH?
Inshort alitaka kumegwa !
Una swali jingine ?
 
Last edited by a moderator:
enzi zangu siziachi loseball kama hizo, sikajileta mwenyewe....! teh teh teh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom