Tressa
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 954
- 1,040
Hahahaaa.Hpn mkuu hiyo sera ipo toka 2004 huko miaka 10 kabla Kenya hawajaanza kutumia mfumo wa majimbo.
Pia hta kucopy sio kitu kibaya maana unakua umejifunza kitu kipya. Mfano ''CHADEMA digital'' ni lazima tu itaigwa na vyama vingine hpa Africa mashariki na kati!! Maana inaendana na wakati uliopo
Ahsante kwa maelezo nilitaka uone tu hakuna jipya.